Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.

Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.

Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.

Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.

Kamwe usikatishwe tamaa.

Makosa ni sehemu ya Maisha.

Endeleza mahubiri.
 
kwa nini rostam aziz asimfate maana akili zako na wewe ni sawa kuhusu Taifa gesi
 
Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.

Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.

Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.

Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.

Kamwe usikatishwe tamaa.

Makosa ni sehemu ya Maisha.

Endeleza mahubiri.
haya mpelekee mtungo wa gesi akujazie kwa upako mjinga wewe
 
chuma hicho
Screenshot_20250809-220812~2.jpg
 
Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.

Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.

Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.

Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.

Kamwe usikatishwe tamaa.

Makosa ni sehemu ya Maisha.

Endeleza mahubiri.
Je umeshakula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS?

Kama bado unasubiri nini?

The road to Karbala join the movement NOW!

Screenshot_2025-07-30-19-19-40-01_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

gTurn
 
hoja yao ni mtungi wa gesi tu -- haya mengine mnaleta siasa
 
Unashauri asijibu akati katoa boko tayari?...jifunze kutokua mnafiki
 
Kwa hiyo siku hizi Carbon Dioxide tunaitumia kwenye mitungi ya gas?
 
Biashara ya imani inalipa
Iwe uganga au uchungaji inalipa
 
Kweli wana chuki nae.
ila wewe umeona wapi gesi ya kupikia ikajazwa Kwa mdomo?🤣🤣🤣.
sawa huko mbali tumuwekee mpira tu hawezi kuzaja Kwa mdomo.
alafu ulioona wapi upepo wa mdomoni ukawa gesi?😳😳😳
 
Back
Top Bottom