Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

Hakuna kumtia moyo mtu anayepuuza sadaka za masikini zilizomtajirisha na kutukana viwango vya maisha ya watu kisa amepata hela za bure hadi akabweteka na kutukana.Aache huo upuuzi asifkiri watu hawajui siri ya hivyo vitu.Kwa nini Mo au Bakheresa huwezi kusikia wanaongea hovyo na hela wanayo!!.Ina maana wametafuta kwa jasho na bado wanamsheshimu Mungu na waliowazunguka.
 
Back
Top Bottom