Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Watu hawana chuki na "ukwasi," wake, tumewaona kina Diamond, Zuchu, manji,bakheresa, watu wanamriki mpaka ndege, hiyo "chuma" Anayosema anaendesha, mbona watu kibao wanazo, mtaani! Tuna mdhihaki maana ameonesha jinsi alivyotapeli na jizi, unawezaje kujaza mtungi wa gesi kwa mapafu ya binadamu? Basi, siku nyingine atatuambia anaweza kubeba train ya SGR kichwani, akatembeya nayo mpaka Dodoma, au, anaweza, kungata chuma mpaka, kitoe maji,
Bottom line, ni, ni muongo na amejaa, miujiza, feki, niliona anawadhihaki, watu kuwa kabla hawajamkosoa, waseme wamesoma wapi, akaunti zao, zina Pesa, kiasi, gani,
Aje hapa, aweke CV yake amesoma wapi, ameuza, nini, mapato yake ya, kununua"chuma"ameyapata wapi!
Shenzy kabisa, nenda, kamsome pastor PHD Myles Munroe, uone watu wana go kuwa, kwenye huduma na kutengeneza, ukwasi, huyo Dr, alikuwa, anaalikwa, kwenye vyuo vikuu kama Harvard kutoa mada, za, kisomi, ameandika, vitabu, best selling books, sasa huyu wa mchongo, anadanganya vi jenz, anajiona wa, maaana,?
Unasimama madhabauni, unajisifia, huwa upandi teksi,na uendeshi gari, unaendesha chuma! Huku kimetoa macho! Sasa unamtisha nani!
Tukitaka kuangalia vijana wenye ukwasi na bring bring, tutamuangalia diamond, zuchu, Ayo, Fernandes wa NaLa, sio, huyu kenge