Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Jamaa mmoja alinitumia picha mtu anajaza gesi kwa mdomo wiki iliyopita sikuelewa kitu kumbe pana miguu imechanganywa huko..
Sidhani kama ninsuala la chuki, the way alivyo react inaonyesha hana skills na ku control such incident.Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Ushapulizwa na Pasta tayariAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
tayari umeshapuliziwa gesi kichwani si bureAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
mambo mrembo?Baby Zinduna Nakupa pole Zindunaa
We na yeye akili zenu zina shidaAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Japo humu tunajadili siasa tuu lkn vile umelilete Acha tukutoe tongotongo..Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Duuuh, ama kweli. Naishi huku porini,, njooni mtupulizie gas tuache kukata miti. Matapeli wa kiroho. Acheni kuibia watu.Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Ni mpambanaji sana tunampongeza kwa hilo ila UKWELI ALICHOSEMA MKEWAKE PALE MADHABAHUNI NI UWONGO hata pastor mwenyewe anajua ule ni uwongoAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Unamdanganya na anajua unamdanganya. Mafanikio yake ni sadaka za watu masikini!Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Mwambieni Pastor wenu, asihangaike kujibu. Sio kila Jambo linatakiwa kujibiwa. Ajifunze kwa kaka yake Masanja Mkandamizaji, namna alivyodeal na ile inshu ya kifo cha Katibu wake. Majaribu kwenye utume ni ya lazima. Athari zake, zinatokana na vile unavyorepond. Sasa hizi kauli anazoendelea kutoa, zinawafanya hata wale waliokua wanaimani nae kuanza kum doubt.Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Ona Jinga hili.Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Una kiwango kidogo sana Cha kufikiri!!Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.