Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Acha ujinga basi. Mbona wewe ndo unaonekana ndo una afya duni ya akili. Yaani mtu afanye ujinga ule wa gesi halafu umtie Moyo? Una tatizo la afya ya akiliAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Kweli wana chuki nae.
ila wewe umeona wapi gesi ya kupikia ikajazwa Kwa mdomo?🤣🤣🤣.
sawa huko mbali tumuwekee mpira tu hawezi kuzaja Kwa mdomo.
alafu ulioona wapi upepo wa mdomoni ukawa gesi?😳😳😳
Afungue biashara ya kujaza mitungi
Mkuu wqAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Mkuu watumishi wengi wa kitanzania wanalewa sana na mafanikio, wanashau walikotoka, kama kweli hekima ya Mungu inaishi ndani yake hakutakiwa kutoa yale majibu ya hovyo kabisa kama mtumishi wa MunguAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Ila amebugi kishenziiiiiiAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
hawaelewi nini?kwani wewe umeelewa nini?mkuu samahani naomba kuuliza, hivi ukiandika hivyo ndio kusema mods hawaelewi au?
wewe malaya unataka nikuoe au?Baby zinduna umepandwa na jini subiani?
Njia aliyopata ya kujinasua kimaisha ni kwa kutumia matatizo ya akili na upumbavu wa waumini wake na kujipatia maisha mazuri kupitia sadaka zao 🔥Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Tatizo la akili iz real, yule jamaa na Mke wake wanasumbuliwa na tatizo la afya ya akili wewe unasema watu wana wivu nao. Kwa mtu mwenye akili timamu gesi haijazwi kwa maombiAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Tatizo la akili iz real, yule jamaa na Mke wake wanasumbuliwa na tatizo la afya ya akili wewe unasema watu wana wivu nao. Kwa mtu mwenye akili timamu gesi haijazwi kwa maombiAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Acha ulofa.....kama vipi kapeleke mtungi apulizeAsilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.
Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe.
Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama watoto na wanaokurushia vijembe wanalengo la kumdhalilisha yeye zaidi.
Ushauri wangu ni mmoja tu...usiwajibu na acha wajibiwe kwa neema za Mungu.
Mimi nakuona kama kijana mpambanaji uliyefanikiwa kupata njia ya kujinasua kimaisha.
Kamwe usikatishwe tamaa.
Makosa ni sehemu ya Maisha.
Endeleza mahubiri.
Watu hawana chuki na "ukwasi," wake, tumewaona kina Diamond, Zuchu, manji,bakheresa, watu wanamriki mpaka ndege, hiyo "chuma" Anayosema anaendesha, mbona watu kibao wanazo, mtaani! Tuna mdhihaki maana ameonesha jinsi alivyotapeli na jizi, unawezaje kujaza mtungi wa gesi kwa mapafu ya binadamu? Basi, siku nyingine atatuambia anaweza kubeba train ya SGR kichwani, akatembeya nayo mpaka Dodoma, au, anaweza, kungata chuma mpaka, kitoe maji,Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako.