Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Naweza kuunga mkono hoja, Ila kwa namna Fulani dini imeleta ustaarabu maana bila dini huenda watu wangekua na tabia za hovyo Sana mitaani.. Lakini pia dini tukiziendekeza inatengeneza mzigo kwa taifa kama hivi
Bora tungebaki na uchawi Wetu tu, nowadays kila mtu angekuwa anamiliki tunguli lake fresh. Mtu akileta kiburi anakula kombola.
 
Baba pipa mama mfuniko mtoto maji.
Yesu kama Yesu anakuja hivi karibuni😁
Nimejaribu kuwaza outside the box, kulingana na hayo mazingira wanayoishi.. usikute hawawezi hata kujenga nyumba imara zaidi wakiamini hawataishi daima wataziacha, so waendelee tu kuishi hapohapo kwenye hicho kibanda Hadi Yesu atakapokuja kuwachukua
 
Na imeandikwa Mithali 4:13
[13]Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Lakini mimtu bado haielewi
Embu tulieni watoto waache kumpokea yesu waende shule 🤣🤣?
Yesu hafati watu shule, hiyo ni kama daladala ya gomzi au mbagala ukichelewa imeisha.
Vituo vya yesu vinajulikana akitoka kawe kwa mwanangu mwamposa kukusanya moja kwa moja namtumbo kwa watoto
 
Back
Top Bottom