Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Bora tungebaki na uchawi Wetu tu, nowadays kila mtu angekuwa anamiliki tunguli lake fresh. Mtu akileta kiburi anakula kombola.Naweza kuunga mkono hoja, Ila kwa namna Fulani dini imeleta ustaarabu maana bila dini huenda watu wangekua na tabia za hovyo Sana mitaani.. Lakini pia dini tukiziendekeza inatengeneza mzigo kwa taifa kama hivi