Bora tungebaki na uchawi Wetu tu, nowadays kila mtu angekuwa anamiliki tunguli lake fresh. Mtu akileta kiburi anakula kombola.Naweza kuunga mkono hoja, Ila kwa namna Fulani dini imeleta ustaarabu maana bila dini huenda watu wangekua na tabia za hovyo Sana mitaani.. Lakini pia dini tukiziendekeza inatengeneza mzigo kwa taifa kama hivi
Jamani😃😃Bora tungebaki na uchawi Wetu tu, nowadays kila mtu angekuwa anamiliki tunguli lake fresh. Mtu akileta kiburi anakula kombola.
Na kutia hasira kwa wakati mmojaInasikitisha sana
Nimejaribu kuwaza outside the box, kulingana na hayo mazingira wanayoishi.. usikute hawawezi hata kujenga nyumba imara zaidi wakiamini hawataishi daima wataziacha, so waendelee tu kuishi hapohapo kwenye hicho kibanda Hadi Yesu atakapokuja kuwachukuaBaba pipa mama mfuniko mtoto maji.
Yesu kama Yesu anakuja hivi karibuni😁
Hao nao ni tatizo lingine.. Mbaya zaidi unaweza Kuta Kuna nguvu inawasapoti kutoka kwa viongozi wa juu ili waendelee kufanya mambo ya kipuuzi kama hayoNa kamchape jee
Ni kweliToo much is harmful
ItakuwaLabda Yesu hachukui wanaosoma.
Kuna mambo ukizidisha unakuwa chizi fresh, akili zipo lakini hazina akili.Ni kweli
China, North and South Korea, Japan dini yao ni kazi. Lakini huku Africa. Hizi dini zimekuwa zinafubaza sana akili za Watu wengi.Kwa vizazi vijavyo ndio, kwa hawa wa sasa washapotea hawasaidiki kwa kweli
Jamani we mkuu, hukutaka waikabidhi nyumba yako mikononi mwa bwana😆😃🤒Walokole wana shida
Kuna siku walikuja kwangu wakati nimehamia eti wanakuja kuniombea waliishia getini
Kama dini zinatupekee kwenye upumbavu kama huu, basi kuna shida kubwa sana.
Embu tulieni watoto waache kumpokea yesu waende shule 🤣🤣?Na imeandikwa Mithali 4:13
[13]Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Lakini mimtu bado haielewi
Tatizo yeye mwenyewe mhusika hajioni kama anakoseaKuna mambo ukizidisha unakuwa chizi fresh, akili zipo lakini hazina akili.
Ndio hapo sasa ninapojiuliza maswali, na huo ujasiri sijui anautoa wapi?Anaongea upuuzi kwa ujasiri. Yesu yupi hakutaka watu wasome?