It's not too late to accept ONE GOD friend.
Haujachelewa, na wala hauhitaji kwenda kwnye Ukristo wala kujitoa Uislam ili umkubali. Huko ulipo unaweza ukamkubali na kumkiri..
Wewe bado uko hai na hujachelewa kumkubali MUNGU MMOJA na Njia Sahih.
Katika Ukristo Mungu ni Mmoja, mengine ni Mitazamo wa Wapendao kujikweza.
Uislam ni DINI pekee inayomkubali Yesu na kumpa sifa zote njema anazostahiki bila kumsingizia uongo kuwa ALIPIGWA MPK AKALIA NA KUOMBA MSAADA KWA MUNGU ambae Wakristo wanadai yeye ndio MUNGU kwa lengo la kutafuta maslahi ya DUNIA.
Wakristo hawana madai, sababu hawatafuti huruma, hawatafuti upendeleo maalum wala hawajioni bora kuliko wengine kwa kujikweza. Wao Fundisho lao kuu ni kujinyenyekeza. Mengine mnawasingizia kwa kuwa mnatafuta wa kupambana naye.
WAYAHUDI wamemkataa Yesu na kujisifu kuwa walimuua na kumpa kashfa zote.
Hayo ni ya kwao Wayahudi na Uyahudi wao na imani zao. Hata katika jamii zetu, katika utanzania wetu tunakataana na kutofautiana. Cha ajabu ni kipi hapo? Binaadam ni watu huru kiakili. Tofauti zetu ndiyo zinazoifanya dunia isonge mbele na kufika hapa tulipo.
YESU aliabudu MUNGU MMOJA km Waislamu.
Yesu wa angle yako una ruhusa ya kumuongelea utakavyo.
YESU alikula na kunywa na kulala usingizi km Wewe na mimi.
Akawa mtu, aka kaa kwetu...
YESU ni Mtume mtukufu aliyetumwa na MUNGU kuja kufundisha watu KUABUDU MUNGU MMOJA na KAMWE YESU SIO MUNGU.
Nitawatumia Mkombozi
YESU HAKUWAHI KUJIITA MUNGU. wala HAKUWAHI KUABUDIWA na Mtu yyt wakati alipokuwa hapa Duniani.
Kabla ya Ibrahim mimi nilikuwepo. Mimi na baba ni kitu kimoja, aliyeniona mimi amemuona baba.
usikubali Kufuata imani ambayo tayari umeona kuna mapungufu mengi na maswali yasio na majibu.
Mapungufu kwa kwa mujibu wa uelewa au kutoelewa kwako.
Mpk leo HAKUNA MKRISTO Anaweza kutoa maana ya Utatu mtakatifu IKAELEWEKA.
Haujakutana na Mkristo. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wanafanya kazi kwa pamoja kama Co-creators wa viumbe vyote (Na tufanye mtu kwa mfano wetu)
Lkn bado mtu anashindwa kufanya maamuzi muhimu kabisa ktk maisha yake.
Wakristo wengi waamini kwa kufuata wazazi au jamii yake bila kusoma imani yao.
Dini yako imekufundisha kuwakana na kuwaasi wazazi wako? Wewe huko ulipo ni nani alikupeleka? Je si wazazi walikupeleka Madrasa? Je wazazi huko ulipo hawatakiwi kuwaongoza watoto katika dini yao? Je wazazi huko ulipo hutakiwa kuwaacha watoto wajichagulie waende watakapo? Kwanini iwe dhambi kwa Wazazi wa Kikristo ma dini nyingine kuwafumdisha watoto wao? Kwanini mtumie mbinu ya kuchonganisha watoto dhidi ya wazazi wao? Hiyo dini yenu ni dini ya aina gani hiyo?
Na wengine ndio hao wanaokusanya milions kwa kudai wanaponya wagonjwa na kusamehe watu madhambi hali ya kuwa ndio wafanya madhambi wakubwa.
Hao hawakosekani, hata huko kwenu wapo, tena wengi tu. Tena huko wapo kikatili zaidi. Je siyo huko ambako watu hufundishwa kutoambatana na kufanya urafiki na watu wa dini nyingine? Je siyo huko ambapo ukijitoa mhanga na kuua wasio wa dini yako unapata swawabu na ajadi nyinginyingi?
Amka ndugu. Siku unavuta pumzi yako ya mwisho hakuna atakae kuokoa na Adhabu ya Mungu ispokuwa imani yako ya MUNGU MMOJA.
Imani yako wewe mwenyewe inakuchanganya. Bado haujaielewa hata, bado upo njia panda.
I wish you all the best in your studies if you dare to know the truth
Ukweli ni kitu gani?