Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Umemfahamia wapi?Uyu jamaa ni msomi kabisa PCB na alitoka na one alikua na mambo mawili TU dini na elimu kichwani na alikua anataka kua mwalimu sio kwa ufaulu mdogo Bali Kwa kupenda ila naona dini imezidi nguvu elimi akaacha chuo udom alipo kua anasoma ndo kaenda fungua kanisa[emoji119] sema jamaa alikua anajua organic chemistry adi Raha ila ndo ashapotea
Umeongea jambo la maana hapa.Bila elimu hii hata hiyo elimu ya dini utaielewa? Hii dini inachezewa sana. Kulitakiwa kuwa na namna ya kuthibiti kama wenzetu waislamu. Waislamu huwezi kufanya nyoko hizi ukabaki salama
Ndiyo shida ua hayo Makanisa yanayoanzishwa na Serikali (Government Churches of godi (GCg)), Inayaanzisha yenyewe, yanayengeneza matatizo na kujifanya Serikali inayatatua.Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living ambaye amefungua Kanisa Kijijini hapo akiwahubira Wazazi wasiwapeleke Watoto Shule kwakuwa Yesu Kristo atarudi muda sio mrefu kuchukua kondoo wake hivyo badala ya kwenda Shule wajiandae kumpokea Yesu.
Erick ni Kijana ambaye alikuwa anasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye anadai baada ya kusoma vitabu na kuijua imani yake vizuri akaacha Chuo na kwenda kuanzisha Kanisa hilo Namtumbo “Nimesoma UDOM sikuhitimu elimu yangu sababu ni baada ya kuijua imani yangu vizuri katika vitabu, maana tumeambiwa Mtu hatoishi kwa mkate tu bali kwa kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu, mpaka nafika Chuo Kikuu nipo katika mikono ya Wazazi baada ya kujitambua Mimi nachagua njia yangu inayonipa furaha, nyakati zinazokuja chap- ya mnyama itasurutishwa, kitabu cha ufunuo wa Yohana kuna namba 666 sasa huo wakati upo karibu yetu”
DC Ngollo amesema Erick amefanikiwa kuwarubuni Wazazi mbalimbali ambao ni wa dhehebu la Wasabato Kijijini hapo na wameachisha Watoto wao Shule ili wajiandae kumpokea Yesu ambapo hadi sasa Watoto 13 tayari wameacha kwenda Shule na wameaminishwa kuwa elimu ya Mungu haipaswi kuchangamana na Elimu Dunia inayotolewa na Shule za Serikali na binafsi.
DC Ngollo akiwa na Kamati ya Usalama wa Wilaya ameagiza kukamatwa kwa Mwinjilisiti Erick na Mwinjilisti mwenzake anayemsaidia kazi za Kanisa Anthony Mkomela kwa mahojiano zaidi
Umeongea jambo la maana hapa.
Waislamu hakuna utani na Dini.
Siku ukisikia muislamu anadai yeye kaongaea sijui na roho mtakatifu au sijui malaika kisha akaomba mchango au akadai Ana miujiza au ametakasika siku hio hio atakula bakora mpk akojoe.
Lkn upande wa Wakristo kila siku mitume na manabii wapya.
Gwajima anadai ANAFUFUA WAFU. NA KUPONYA WAGONJWA hali ya kuwa MAMA YAKE MZAZI KAUGUA MPK KAFA Tena mbele yake.
Juzi katokea msukuma mmoja huku kwetu anadai YEYE NI YESU. Ati kaja kuwakomboa Wakristo .
Halafu kapata wafuasi kwa wingi tu. Na Kadinali pengo Kimyaa.
Ndio tunasema kila siku NJOONI KWENYE UISLAMU.
NJOOJI KWENYE DINI YA HAKI.
NJOO KWENYE DINI YA KUMUABUDU MUNGU MMOJA TU.
MUNGU MKUU. hana mshirika ktk UUNGU WAKE wala HAFANANI NA KIUMBE YYT KTK UUNGU WAKE.
Kanisa gani ambalo halina usajiri wa serikali?Ndiyo shida ua hayo Makanisa yanayoanzishwa na Serikali (Government Churches of godi (GCg)), Inayaanzisha yenyewe, yanayengeneza matatizo na kujifanya Serikali inayatatua.
Tofautisha kati ya kuanzisha na kusajiri.Kanisa gani ambalo halina usajiri wa serikali?
Wewe kesho ukitaka kuanzisha kanisa hamna atakaepinga.
Kikubwa ujue kuongea na mistari kadhaa ya kuombea sadaka na bendi yako ya kwaya. Na udai kuwa unasamehe dhambi.
Mchezo umeisha.
Masanja alikuwa comedy kaanzisha kanisa.Tofautisha kati ya kuanzisha na kusajiri.
Hao ndiyo agents wa serikali. Waanzishao makanisa ili hali wao ni vivuli tu.Masanja alikuwa comedy kaanzisha kanisa.
Jamaa mmoja hapa Dar alikuwa muimba mziki kaanzisha kanisa.
Yule mama tapeli kaanzisha kanisa na kudai amendable kukutana na Mungu na wakristo wanamshangilia na kujaa kanisani kwake.
Na makanisa yote hayo yamagata usajili halali kutoka serikalini.
We ulitaka serikali iwanyime Vibali kisha mseme Serikali ina upendeleo?
Sasa badala ya kulaani na kulaumu serikali kwanini huwalaumu VIONGOZI wa MAKANISA kama KADINALI PENGO kukaa kimya ?Hao ndiyo agents wa serikali. Waamzishao makanisa kwa kivuli cha serikali.
Hao hawajawahi kuwa sehemu ya Umoja wa Wakristo, sababu wanajijua kuwa wapo kwenye mission maalum.Sasa badala ya kulaani na kulaumu serikali kwanini huwalaumu VIONGOZI wa MAKANISA kama KADINALI PENGO kukaa kimya ?
Au unaogopa kukamatwa?
Kwahio kama KADINALI PENGO sio wa kumzingatia.Hao hawajawahi kuwa sehemu ya Umoja wa Wakristo, sababu wanajijua kuwa wapo kwenye mission maalum.
Halafu Pengo wa sasa is totally compromised, siyo mtu wa kumzingatia.
Je kanisa la GWAJIMA limo kwenye huo umoja wa Wakristo?Hao hawajawahi kuwa sehemu ya Umoja wa Wakristo, sababu wanajijua kuwa wapo kwenye mission maalum.
Halafu Pengo wa sasa is totally compromised, siyo mtu wa kumzingatia.
Watamuombee afe hadi atakufa kweli, maajabu yake ndio hayoDini ni utapeli aisee inaleta uzezeta
Atokee raisi mmoja kama xi jinping azuie dini
It's not too late to accept ONE GOD friend.Kanisa bado ni kimbilio la wadhambi na hilo linapaswa kubaki kuwa lengo kuu la dini.
Papa kamwe hajawahi kuubariki au kuukubali ushoga. Hizo ni tafsiri za watu wanaoupigia chapuo.
Ila hakuna popote ilipoukubali ma ndiyo maana kati ya vyombo vyote vinavyo ripoti kuwa Papa ameukubali ushoga hakuna hata kimoja kimechapisha tamko lile, balichokifanya ni kuandika tafsiri zao.
Haujachelewa, na wala hauhitaji kwenda kwnye Ukristo wala kujitoa Uislam ili umkubali. Huko ulipo unaweza ukamkubali na kumkiri..It's not too late to accept ONE GOD friend.
Katika Ukristo Mungu ni Mmoja, mengine ni Mitazamo wa Wapendao kujikweza.Wewe bado uko hai na hujachelewa kumkubali MUNGU MMOJA na Njia Sahih.
Wakristo hawana madai, sababu hawatafuti huruma, hawatafuti upendeleo maalum wala hawajioni bora kuliko wengine kwa kujikweza. Wao Fundisho lao kuu ni kujinyenyekeza. Mengine mnawasingizia kwa kuwa mnatafuta wa kupambana naye.Uislam ni DINI pekee inayomkubali Yesu na kumpa sifa zote njema anazostahiki bila kumsingizia uongo kuwa ALIPIGWA MPK AKALIA NA KUOMBA MSAADA KWA MUNGU ambae Wakristo wanadai yeye ndio MUNGU kwa lengo la kutafuta maslahi ya DUNIA.
Hayo ni ya kwao Wayahudi na Uyahudi wao na imani zao. Hata katika jamii zetu, katika utanzania wetu tunakataana na kutofautiana. Cha ajabu ni kipi hapo? Binaadam ni watu huru kiakili. Tofauti zetu ndiyo zinazoifanya dunia isonge mbele na kufika hapa tulipo.WAYAHUDI wamemkataa Yesu na kujisifu kuwa walimuua na kumpa kashfa zote.
Yesu wa angle yako una ruhusa ya kumuongelea utakavyo.YESU aliabudu MUNGU MMOJA km Waislamu.
Akawa mtu, aka kaa kwetu...YESU alikula na kunywa na kulala usingizi km Wewe na mimi.
Nitawatumia MkomboziYESU ni Mtume mtukufu aliyetumwa na MUNGU kuja kufundisha watu KUABUDU MUNGU MMOJA na KAMWE YESU SIO MUNGU.
Kabla ya Ibrahim mimi nilikuwepo. Mimi na baba ni kitu kimoja, aliyeniona mimi amemuona baba.YESU HAKUWAHI KUJIITA MUNGU. wala HAKUWAHI KUABUDIWA na Mtu yyt wakati alipokuwa hapa Duniani.
Mapungufu kwa kwa mujibu wa uelewa au kutoelewa kwako.usikubali Kufuata imani ambayo tayari umeona kuna mapungufu mengi na maswali yasio na majibu.
Haujakutana na Mkristo. Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wanafanya kazi kwa pamoja kama Co-creators wa viumbe vyote (Na tufanye mtu kwa mfano wetu)Mpk leo HAKUNA MKRISTO Anaweza kutoa maana ya Utatu mtakatifu IKAELEWEKA.
Dini yako imekufundisha kuwakana na kuwaasi wazazi wako? Wewe huko ulipo ni nani alikupeleka? Je si wazazi walikupeleka Madrasa? Je wazazi huko ulipo hawatakiwi kuwaongoza watoto katika dini yao? Je wazazi huko ulipo hutakiwa kuwaacha watoto wajichagulie waende watakapo? Kwanini iwe dhambi kwa Wazazi wa Kikristo ma dini nyingine kuwafumdisha watoto wao? Kwanini mtumie mbinu ya kuchonganisha watoto dhidi ya wazazi wao? Hiyo dini yenu ni dini ya aina gani hiyo?Lkn bado mtu anashindwa kufanya maamuzi muhimu kabisa ktk maisha yake.
Wakristo wengi waamini kwa kufuata wazazi au jamii yake bila kusoma imani yao.
Hao hawakosekani, hata huko kwenu wapo, tena wengi tu. Tena huko wapo kikatili zaidi. Je siyo huko ambako watu hufundishwa kutoambatana na kufanya urafiki na watu wa dini nyingine? Je siyo huko ambapo ukijitoa mhanga na kuua wasio wa dini yako unapata swawabu na ajadi nyinginyingi?Na wengine ndio hao wanaokusanya milions kwa kudai wanaponya wagonjwa na kusamehe watu madhambi hali ya kuwa ndio wafanya madhambi wakubwa.
Imani yako wewe mwenyewe inakuchanganya. Bado haujaielewa hata, bado upo njia panda.Amka ndugu. Siku unavuta pumzi yako ya mwisho hakuna atakae kuokoa na Adhabu ya Mungu ispokuwa imani yako ya MUNGU MMOJA.
Ukweli ni kitu gani?I wish you all the best in your studies if you dare to know the truth
Nadhani ujumbe nimefikisha.Haujachelewa, na wala hauhitaji kwenda kwnye Ukristo wala kujitoa Uislam ili umkubali. Huko ulipo unaweza ukamkubali na kumkiri..
Katika Ukristo Mungu ni Mmoja, mengine ni Mtazamo wa Wapendao kujikweza.
Wakristo jawana mafai, sababu hawatafuti huruma, hawayafuti ioendeleo maalum wala hawajiona bora kuliko wengine kwa kujikweza. Wao Fundisho lao kuu ni kujinyenyekeza. Mengime mnawasingizia kwa kuwa mnatafuta wa kupambana naye.
Jayo ni ya kwa Wayahudi na Uyahudi wao na imani zao. Jata katika jamii zetu, katika utanzania wetu tunakataana na kutofautiana. Cha ajabu ni kipi hapo? Binaadam ni watu huru kiakili. Tofauti zetu ndiyo zinazoifanya dunia isonge mbele na kufika hapa tulipo.
Yesu wa angle yako una ruhusa ya kumuongelea utakavyo.
Akawa mtu, aka kaa kwetu...
Nitawatumia Mkombozi
Kabla ya Ibrahim mimi nilikuwepo. Mimi na baba ni kitu kimoja, aliyemuona baba yangu ameniona mimi.
Mapungufu kwa kwa mujibu wa uelewa au kutoelewa kwako.
Haujakutana na Mkristo. Naba, Mwana ma Roho Mtakatifu wanafanya kazi kwa pamoja kama Co-creators wa viumbe vyote (Na tifanye mtu kwa mfano wetu)
Dini yako imekufundisha kuwakana na kuwaasi wazazi wako? Wewe huko ulipo ni nani alikupeleka? Je si wazazi walikupeleka Madrasa? Je wazazi huko ulipo hawatakiwi kiwaongoza watoto katika dini yao? Je wazazi huko ulipo hutakiwa kuwaacha watoto wajichagulie waende watakapo?
Jao jawalosekani, jata huko kwenu wapo, tena eengi ti. Tena huko wapo kikatili zaidi. Je siyo huko ambako watu hufunfishwa kutoambatana na kufanya urafiki na watu wa dini nyingine? Je siyo huko ambapo ukijitoa mhanga na kuua wasio wa dini yako unapata swawabu?
Imani yako wewe mwenyewe inakucjanganya. Bado haujaielewa hata, upo njia panda.
Ukweli ni kitu gani?