Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Bora umuache kuliko umuoe halafu uanze kumtesa, yaani ulitaka anywe chai ya rangi wakati yeye kazoea ya maziwa!
 
xa ushasema kwao ni masikini alafu unalalamika akitumia hela hivyo wanawake wajue tu anaweza akanunua hayo alafu hela nyingne akatunza kwa matumizi yake ya mbele au akatuma nyumbani kiasi anawaza mbele sio kama wanaume tulivyo
 
@dronedrake
 
Tafuta hela ngumbaru wewe
 
Vipi ndugu? Ulishamwacha? Kama tayari naomba namba yake ndugu, nitakulipa 50,000 yako aliyochezea ukinipa namba yake.
 
Bado namvumilia maana ni mtamu sana

Sasa mbona tumekupa ushauri umuache? Huyo atakutesa, anatufaa sisi ambao hatuoni gharama tukipewa raha, sio wewe unawaza gharama wakati unapata raha.
 
Tafuta pesa ndugu ndo dawa..
 
umeshasema kwao ni maskini. wala si mtumiaji mbaya wa pesa, anatuma kwao ili nao waishi.
Wanawake wabaya dsna aisee. Nakumbuka nlidate na mschana kwao makapuku maskini wa kutupwa wanakula mlo 1, mingine yote uji. Alivomaliza f4 nikampeleka university kusoma certificate ya uhasibu. Nikilipa kila kitu mm. Semester ya 1 alivokuja akat namrudisha akadai mafuta ya elf 50. Nikashtuka kwanza hata mwenyewe napaka ya elf 20. Nikamuuliza ya nn akasema yanasoftisha mwili tukabishana sana mwisho akachukia ikabidi niyanunue. Kumbe namnunulia apendeze ili atongozwe na wanaume miezi 3 mbele tuliachana baada ya kugundua nimekula block whatsap akisingizia simu kubwa imekufa.
 
Anatuma pesa kwao na amekuona huwezi kumuacha, piga chini mufilisi huyo, siwacheleweshagi mimi wajinga wa namna hiyo
 
Pole Sana brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…