Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Wewe ulimpataje?
Usikute ulimringishia gari na mahali pazuri pa kuishi, out za mara kwa mara akajua we elq ipo halafu unaanza kulalamika matumizi yake.
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
umeshasema kwao ni maskini. wala si mtumiaji mbaya wa pesa, anatuma kwao ili nao waishi.
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Unajua bei ya maziwa nusu kilo ni elf 30 kwa maana hapo katumia elf 45 na elf 5 kaweka bando unakuja kulalamikia huku jf, in short hujakua bado mtoto ukikua utajua huyo mwanamke hapendi standards za chini, na ndo mwanamke wa kuishi naye sababu atakufosi utafute pesa zaidi ili ufikie standards anazozitaka. Kwa ushauri wangu huyo ndo mwanamke anakufaa kwa sasa
 
Mimi mwenyewe Ni mpambanaji tu Siyo kwamba nipo vizuri
basi inawezekana ulianza naye vibaya. ulianza kwa kumuonyesha kuwa uko kamili kiuchumi? Maana kama ndani kila kitu kipo, inakuwaje unamwachia mtu pesa ya mboga 50K?
 
Hela itumike tu mwanangu.

Kama uko standard ya cocoa better lazima hela itoke.

Usimuache ila sijui kama ukifilisika hautaachwa.
Napingana na Mamndenyi,huyo hafai piga chini faster hataweza kupelekana na wewe kwa raha na taabu.
 
Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.

Mkuu umeshasema kwao ni masikini hajazoea hivo vitu na ni vitu alivyokuwa anavitamani. Mpe muda ale hadi azoee aone ni mambo ya kawaida atakuwa kawaida tu.
 
Unajua bei ya maziwa nusu kilo ni elf 30 kwa maana hapo katumia elf 45 na elf 5 kaweka bando unakuja kulalamikia huku jf, in short hujakua bado mtoto ukikua utajua huyo mwanamke hapendi standards za chini, na ndo mwanamke wa kuishi naye sababu atakufosi utafute pesa zaidi ili ufikie standards anazozitaka. Kwa ushauri wangu huyo ndo mwanamke anakufaa kwa sasa
Sawa mkuu
 
Chukua wa level yako....huyo ana wenyewe...... wanawake siku zote ni kama hatujui tutakalo..... Pole ila ndo chaguo lako waweza kumbakiza au kumwacha
Hilo neno
wanawake siku zote ni kama hatujui tutakalo
Amenieleza kijana wangu alivyoambiwa na mchumba wake, dakika tano tulipokuwa tunaongea. Nadhani ilivyoandikwa katika Biblia ni sawa kuwa ishi nao kwa akili. Binti akiwa maskini shida (atakuwa ombaomba na matumizi ya ovyo ambapo atakuwa kero kwa mwanaume), vile vile akiwa tajiri shida mara mbili maana atatumia zake lakini kuna wakati mwanaume utatakiwa kuonesha uume wako, hapo kipato chako kitayeyuka kwa dakika moja. Wanaume tumeumbiwa mateso tu.

Nataka kusema nini, mwanamke akiwa nazo huwezi mpeleka kwa mama ntilie lazima uende sheraton etc
 
Tafuta ela braza elf 50 ni ndogo sana kumuachia mke, labda house girl
Pesa haiwezi fanya mtu awe na Upendo na ww kama unatafuta pesa Ili uje upendwe na mkeo basi unakosea Mkuu!!! Maana wapo wengi tu walikua na pesa lakin waliachwa na wake zao Wala hawakupendwa mfano mzuri ni Bill Gate ALIEWAI Kuwa tajiri wa kwanza Duniani lakin pamoja na yote aliachwa
Kwa life la Bongo 50 ni Hela ndefu kwa siku ukizingatia kwa mjibu wa maelezo ya jamaa hapo Kila kitu kipo, kiufupi huyo Mke hampendi na haelewi maisha ndo maana yupo kwa ajili ya kula kulala.

Upendo haupimwi kwa pesa
 
Piga chini jini hilo.
Na usimuache hivihivi mpe makavu live kwamba siku zote ulikuwa unamchora tu juu ya matumizi yake mufrisi ya pesa.
Kwamba background yake haiendani na matumizi yake. Aache mambo ya kuiga maisha ya instagram na bongo movie. Aishi yeye kama yeye.
Kwamba ww hela unaiheshimu na unaipambania.
Kwamba ulihitaji mke mwenye nidhamu ya pesa so yy directly haqualify vigezo vyako. Ana viashiria vya kukurudisha nyuma sio mtu mwenye mtazamo wa kimaendeleo.
Hivyo afungashe vilivyo vyake asepe.

Mkuu huna haja ya kumlia timing sio kobe huyo. Chinja asap!
 
Back
Top Bottom