Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Asumaniiii! [emoji23]

Hivi kama kwenu ni masikini ndio hauruhusiwi kubadili status ya maisha yako ya mbele?

Anyways… mie ndio maana mtu akiniambia niache kazi tutagombana, hela ya cocoa tu masimango.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ujaomba Hela ya kusuka na akutoe out mbonaa utapigiwa mpk tarumbetaa na vikao vya familia vitaitishwa....

Km umemchoka tuachie cc..
 
hiyo ni kweli maskini anakuwa na umakini wa akili na Pesa,

mfano mimi nilikuwa nawachukulia maskini kama watu ambao wanazijua shida unaeza vumilia nae ktk hali ya ya kukosa! kumbe ni tofauti maskini akipata anabadilika mchakato wa kupata ni kupewa sio kwa akili zake mwenyewe.

maskini: ukiishiwa hajui kwenye maisha mambo hayo yapo. kama ni mwanamke anatafuta Mwanaume mwingine. ukweli ni kwamba maskini hana agano.

kuna askofu mmoja alikuwa anafafanua kwenye Biblia kuhusu umaskini na agano.
akadai Mungu hana agano na maskini..
akatoa hoja mbalimbali mojawapo ni kwamba maskini ni msaliti hana msimamo
Ni kweli Mungu hana agano na masikini👌
 
Wewe na huyo mwanamke wako na watoto wenu mnatakiwa kuzoea vitu kama hivyo, sijui maziwa, cocoa and stuffs… kusudi watoto wenu wasijepatwa na ulimbukeni wa kutumia hivyo vitu ovyo ovyo wakaenda kusimangwa kwa watu.

Hivyo ni vitu vya kawaida kila mtu anatakiwa avizoee.
 
Kama umemchoka tuachie cc ,tumle nyama mpk mifupa cc ndio mafic..........

Tafuta hela mkuu 50 elfu n bei ya kiroba Cha unga walishe wambwa Kwa matajiri.
Jamani, watu mna dhihaka. Jamaa anaomba ushauri alafu wewe unamkandia tu, kila mtu anaishi kwa urefu wa kamba yake.
 
mwanamke matunzo
mtunze vizuri, anone umgegede akiwa na steak

timua mjaza choo huyo, anakufilisi
 
🤣🤣anafidia aliyokosa kwao enzi anakuwa
Mtu alikuwa anashinda njaa🤣🤣wali unapikwa kwao sikukuu tu,nyama kwao ni anasa,chai hata alikuwa hajui watu hunywa chai asubuh🤣
Lazima afidie
Unaacha wabinti waelewa,wasiotoka kwenye dhiki,ukidhan maskin utafanya naye maisha,haipo hiyo, maskin hawasaidikagj na huwa hawana jema
Piga chini huyo haraka Sana,manake hata watoto atakuzalia wajinga.
Huna lolote wewe,tatizo JF kila mtu mtoto wa kishua,ushawahi kusikia watoto wa bakheresa wanajinadi kama Wana Hela?Kwa uandishi wako wewe inaonyesha kabisa umetoka familia duni,ndio maana unaona mtu kutumia 50 ni dhambi.
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Tatizo linaanzia kwako usimlaumu huyo mwanamke
 
Back
Top Bottom