Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Huyu mpezi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.

Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Halafu vitu vinavyoonekana alinunua leo ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5. Eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani halafu kwao ni maskini, hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza, ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Piga chini haraka sana hiyo parasite!.
 
Unataka kuoa? utapoteza uhuru wako,utapoteza fedha zako, Utaanza kuwaza namna familia itakavyoishi i.e Nyumba,chakula,mavazi mixer kusaidia upande wa pili. Wakati huo kujitoa huwezi.
 
Piga chini jini hilo.
Na usimuache hivihivi mpe makavu live kwamba siku zote ulikuwa unamchora tu juu ya matumizi yake mufrisi ya pesa.
Kwamba background yake haiendani na matumizi yake. Aache mambo ya kuiga maisha ya instagram na bongo movie. Aishi yeye kama yeye.
Kwamba ww hela unaiheshimu na unaipambania.
Kwamba ulihitaji mke mwenye nidhamu ya pesa so yy directly haqualify vigezo vyako. Ana viashiria vya kukurudisha nyuma sio mtu mwenye mtazamo wa kimaendeleo.
Hivyo afungashe vilivyo vyake asepe.

Mkuu huna haja ya kumlia timing sio kobe huyo. Chinja asap!
😍🧢🖖🏾
 
Huyu mpezi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.

Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Halafu vitu vinavyoonekana alinunua leo ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5. Eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani halafu kwao ni maskini, hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza, ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Skia fanya kitu kimoja makini sana kama yupo hapo kwajili ya pesa utamuona.

Na wewe kama ATM inasoma ni poa sana.
Punguza matumizi na afu check na mwanao wa dhahabu mwambie awe anamtumia pesa kila baada ya siku tatu 200k afu jamaa afanye amekosea namba na hiyo pesa itamsaidia kwenye matumizi madogo magodo.

Week ni ndefu huyo unamuacha...

Onyo kama unampenda usifanye hivi nakwambia usifanye hivi...
 
Hii Ni ngumu kujaribu 😅🖖🏾
 
Ndiyo mfumo wa maisha tulioukuta hapa duniani mkuu
Kama mfumo haulipi usiung'ang'anie. Huo mfumo unatumaliza mapema wanaume. Wa nini sasa? Yaani unalibembeleza tatizo lije kwako uishi nalo likusaidie kula pesa zako na kulipata mpaka ulilipie pesa au mifugo. hujakaa sawa linazaa na watoto kisha kwa pamoja washirikiana kula pesa zako. Shtuka man
 
Skia fanya kitu kimoja makini sana kama yupo hapo kwajili ya pesa utamuona.

Na wewe kama ATM inasoma ni poa sana.
Punguza matumizi na afu check na mwanao wa dhahabu mwambie awe anamtumia pesa kila baada ya siku tatu 200k afu jamaa afanye amekosea namba na hiyo pesa itamsaidia kwenye matumizi madogo magodo.

Week ni ndefu huyo unamuacha...

Onyo kama unampenda usifanye hivi nakwambia usifanye hivi...
Jamaa atamla
 
Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa
Maskini ndo walivyo...kuna mmoja mi nilivyofika kwao sikuamini kabisa. Kwangu ana matumizi ya hovyo hamna mfano, nilivyompiga chini angalau nikaanza kufanya vitu vya maana!
 
Kwani wewe uliacha 50k kwaajili ya matumizi gani??..kama vp acha 10k kama kawaida ya watz wengi alafu umsikilizie..yawezekana wewe ndo ulimzoesha....alafu kuhusu yeye kupanic huenda ni approach yako kwake lakini pia huenda anaona kama unasimanga ukizingatia kwao ni tia maji tia maji...my take usimpige chini kwa sababu ya kitoto kama hiyo mrekebishe tu.
 
MWANAMKE AKISHA KUPANDISHIA SAUTI HATAKAMA ANAMATUMIZI MAZURI YA PESA NI WAKUPIGA CHINI HARAKA.

piga chini huyo haraka anakupandishiaje sauti na bado anatawanya pesa zako

Nb. Kama huwezi kumpiga chini tupe namba zake tukusaidie
 
Ni fundi hatari. Alafu Ana hips kama upinde na tako lain kama scones . Huwa nikimkojolea nahisi nakojoa Hadi ubongo na bone marrow. Lakini akili hana
Vipi ana trako kubwa.?

Kama lipo ndivyo walivyo sasa utachagua kusuka au kunyoa.

Kama hana moja kwa moja piga chini hapo usijiulize mara mbili
 
Kama mfumo haulipi usiung'ang'anie. Huo mfumo unatumaliza mapema wanaume. Wa nini sasa? Yaani unalibembeleza tatizo lije kwako uishi nalo likusaidie kula pesa zako na kulipata mpaka ulilipie pesa au mifugo. hujakaa sawa linazaa na watoto kisha kwa pamoja washirikiana kula pesa zako. Shtuka man
Nimekuelewa vizuri Sana mkuu. Very practical
 
Huyu mpezi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.

Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Halafu vitu vinavyoonekana alinunua leo ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5. Eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani halafu kwao ni maskini, hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza, ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
NASISITIZA KATAA NDOA ,..ndoa ni sehemu ya maokoto kwa wanawake
 
Kama umemchoka tuachie sisi, tumle nyama mpaka mifupa sisi ndio mafisi..........

Tafuta hela mkuu 50 elfu n bei ya kiroba Cha unga walishe wambwa Kwa matajiri.
Ona huyu mlamba lips,....buree kabisa
 
Back
Top Bottom