EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
HahhaUkiwa na baby mwenye mshiko kidali sio issues 😁😁.... Imagine kakumbuka maziwa,Milo,masala ana uhakika wa mikate na sausage huyo.....Asiachwe anajitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ujaomba Hela ya kusuka na akutoe out mbonaa utapigiwa mpk tarumbetaa na vikao vya familia vitaitishwa....Asumaniiii! [emoji23]
Hivi kama kwenu ni masikini ndio hauruhusiwi kubadili status ya maisha yako ya mbele?
Anyways… mie ndio maana mtu akiniambia niache kazi tutagombana, hela ya cocoa tu masimango.
Ni kweli Mungu hana agano na masikini👌hiyo ni kweli maskini anakuwa na umakini wa akili na Pesa,
mfano mimi nilikuwa nawachukulia maskini kama watu ambao wanazijua shida unaeza vumilia nae ktk hali ya ya kukosa! kumbe ni tofauti maskini akipata anabadilika mchakato wa kupata ni kupewa sio kwa akili zake mwenyewe.
maskini: ukiishiwa hajui kwenye maisha mambo hayo yapo. kama ni mwanamke anatafuta Mwanaume mwingine. ukweli ni kwamba maskini hana agano.
kuna askofu mmoja alikuwa anafafanua kwenye Biblia kuhusu umaskini na agano.
akadai Mungu hana agano na maskini..
akatoa hoja mbalimbali mojawapo ni kwamba maskini ni msaliti hana msimamo
Sijamaanisha hivyo, namaanisha ukiwa na kipato chako kuna vitu unaweza kununua bila kumpa invoice mzee baba.Duh! Kwa hiyo hela za vidume kuchezea poa ila zenu hapana😲😲😲
Dah kweli wanawake ni selfish kabisa
Kweli bwana,Sasa bby anakuachia fifty ya matumizi ujue nae yupo Uchumi wa kati😁😁Hahha
We mpoteze jamaa yetu
Huwa unampa kiasi gani labda tusaidie kuelewa zaidi?Matumizi binafsi huwa nampa mwanzoni mwa mwezi
Unawashwa sio?🤣🤣Huenda wanafanana tabia,ndege wafananao huruka pamoja👌
Kwa hiyo umemuamini Tajiri wa JF?matajiri wa JF huwa hawajinadi my friend huyo ni kanjanja tuI agree
Jamani, watu mna dhihaka. Jamaa anaomba ushauri alafu wewe unamkandia tu, kila mtu anaishi kwa urefu wa kamba yake.Kama umemchoka tuachie cc ,tumle nyama mpk mifupa cc ndio mafic..........
Tafuta hela mkuu 50 elfu n bei ya kiroba Cha unga walishe wambwa Kwa matajiri.
🤣🤣Sista ako mbona ka kapanic hivi?tatizo nn?Dah😅
Kwa ufupi nimegundua kwanini watu wengi wapo single. Ni kero tupu
Km umemchoka tuachie cc....Jamani, watu mna dhihaka. Jamaa anaomba ushauri alafu wewe unamkandia tu, kila mtu anaishi kwa urefu wa kamba yake.
Huna lolote wewe,tatizo JF kila mtu mtoto wa kishua,ushawahi kusikia watoto wa bakheresa wanajinadi kama Wana Hela?Kwa uandishi wako wewe inaonyesha kabisa umetoka familia duni,ndio maana unaona mtu kutumia 50 ni dhambi.🤣🤣anafidia aliyokosa kwao enzi anakuwa
Mtu alikuwa anashinda njaa🤣🤣wali unapikwa kwao sikukuu tu,nyama kwao ni anasa,chai hata alikuwa hajui watu hunywa chai asubuh🤣
Lazima afidie
Unaacha wabinti waelewa,wasiotoka kwenye dhiki,ukidhan maskin utafanya naye maisha,haipo hiyo, maskin hawasaidikagj na huwa hawana jema
Piga chini huyo haraka Sana,manake hata watoto atakuzalia wajinga.
Tatizo linaanzia kwako usimlaumu huyo mwanamkeHuyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.
Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.
Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.
Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Unakubali vp kupandishiwa sauti na mwanamke? Mlambe makofi huyo mkuu. Anakuzoea vibaya.Nikimuuliza ananipandishia sauti.
Niulize mimi personally unafiki wa Nini?🤣🤣Sista ako mbona ka kapanic hivi?tatizo nn?