Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Siyo kwamba nipo vizuri Ila huwa naacha hela ninayokadiria kuwa itamaliza siku tatu au nne lakini mwenzangu anaitumia yote. Mara chocolate ya Elfu 10, mara chips kuku wakati ndani Kuna vyakula aina nyingi tu. Sasa tutakuwa tunachumia matumbo
Chukua wa level yako....huyo ana wenyewe...... wanawake siku zote ni kama hatujui tutakalo..... Pole ila ndo chaguo lako waweza kumbakiza au kumwacha
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu?

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae.
Hakufai huyo ht km Una utajiri wa milioni 500Tshs benki, ana roho ya umaskini ndani yke huyo binti sasa ukimuendekeza atakuambukiza umaskini wake huo na utaula wa chuya bwana mkubwa, mpige marufuku kuanzia sasa na kichapo juu makofi mchanganyiko na mateke mithili ya bondia Antoni Joshua
 
Siyo kwamba nipo vizuri Ila huwa naacha hela ninayokadiria kuwa itamaliza siku tatu au nne lakini mwenzangu anaitumia yote. Mara chocolate ya Elfu 10, mara chips kuku wakati ndani Kuna vyakula aina nyingi tu. Sasa tutakuwa tunachumia matumbo
Sasa usikute hzo hela kuna jamaa fala mwngne ndio anapatiwa na huyo demu wako mkuu, acha unyonge funguka na umuoneshe action ya kiume
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Ya watu waachie wao huku kukomoana
 
Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa
Nilikuwa na wangu pia ndio ilikua tabia yke hyo kila kukikucha utaskia anatumia SMS asubuhi na mapema

"nituMie hela mm Nina njaa" na kwao alikuwa choka mby ile kinoma Ila ndio ht kujiongeza angalau anishawishi nimpe mtaji afanye biashara wala akili hyo alikuwa hana kichwani mwake

Bac Mpm sn nikamuona yule demu ni taira asie na Future malengoz nikamchana laivu aniache akatafute bwana atakaendekeza ujinga wake na mwenye akili km zke za kuongeza hasara badala ya faida
 
Huyu mpezi wangu Nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila Nikiacha hela asubuhi, hata kama Ni nyingi lazima aitumie yote.

Mfano; leo niliacha elfu 50 na Ndani Kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Alafu vitu vinavyoonekaza alinunua leo Ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5 eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani alafu kwao ni maskini hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Duuh aise pole, una Hela za kuchezea wewe, wanawake Wapo wazuri wengi wenye tabia njema na shukrani wasiojua kumpandishia mwanaume

kuna wanawake hata buku Tano Kwa siku hawalambi Wala hawana wa kuwaachia hata buku na ni wazuri tuu,

Tafuta mwanamke mnaeendana tabia, huyo hamwendani na hafai, ukimwoa utakuja juta
 
Back
Top Bottom