Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.

Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Halafu vitu vinavyoonekana alinunua leo ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5. Eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani halafu kwao ni maskini, hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza, ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Uliacha 50k ya nini na ndani kuna vitu vingi, acha kujaribu watoto wa watu.
 
Nilikuwa na wangu pia ndio ilikua tabia yke hyo kila kukikucha utaskia anatumia SMS asubuhi na mapema

"nituMie hela mm Nina njaa" na kwao alikuwa choka mby ile kinoma Ila ndio ht kujiongeza angalau anishawishi nimpe mtaji afanye biashara wala akili hyo alikuwa hana kichwani mwake

Bac Mpm sn nikamuona yule demu ni taira asie na Future malengoz nikamchana laivu aniache akatafute bwana atakaendekeza ujinga wake na mwenye akili km zke za kuongeza hasara badala ya faida
Ilikuwaje bàada ya hapo.
 
mm binafsi,mwanamke anayefuja mali nitashindwa kwenda nae njia moja.

N kama utanichelewesha ninakokwenda kifedha

Hatonisaidia kukua kiuchumi

Atanfanya nfanye kaz kwa presha kubwa

Hivyo moja kat ya vigezo vyangu n kupata mwanamke kweny nidhamu ya fedha

NB.Jarbu kufundsha /kumuelekeza fedha inavyotakiwa kutumika kwa nidhamukama anafundshika vingnevyo aman ya moyo wako iamue….kumshaur mtu amuache mtu wake inaweza kuwa sio sahihi mana hawa watu wanameshirik mambo meng pamoja naelewa ilvyo ngumu kujitenga na mwanamke anayekuvutia kihisia ila tu baadh ya mambo mnatofautiana ambayo kimsing hayaonesh hatma njema…AMAN YA MOYO WAKO na iamue mkuu
 
Kama umemchoka tuachie sisi, tumle nyama mpaka mifupa sisi ndio mafisi..........

Tafuta hela mkuu 50 elfu n bei ya kiroba Cha unga walishe wambwa Kwa matajiri.
Anaye kupelekea moto atakua na kibamia
 
Cocoa, majani ya chai, na vitu unavyoviona hapo ndani, kanunua shemeji? Unataka muacha? That Woman is classy, na hana shida. Muelekeze tu, inatosha, anafaa huyo, ukishamwacha, please mpe namba yangu, au nipe yake. We mwache tu.
Acha kujikuta mwamba. Ungekua una umwamba huo usinge kuja jf kuomba namba za mademu walio kula wenzio....kifupi wewe ni looser mzee wa loose ball.
 
Pumbav kabisa tena ikiwezekana thread ifungiwe maana haina martini yoyote ni kupotezeana muda ,,, yani elfu hamsini nayo unaona hela , hiyo elfu hamsini akinunua nyanya na vitunguu si inaisha
Ungekua na uwezo na hiyo hela usinge tumia hicho kisimu
 
Najua wasema hii kauli ili kujifariji sababu labd unampend which I understand,ila brother kama ni mtu ambae umepanga kutokuwa na future inavumilika ila kama umepanga kuishi nae katika shida na raha huyo hawezi change,ata act kubadilika kiasi ukimsema ila kama ni hulka yake itajitokeza tena na mbaya zaidi itakuwa ndani ya ndoa which is too late,mwanaume huwa anafanya maamuzi magum,usidharau hilo ,thats a big red flag kama imejitokeza zaidi ya mara mbili ujue ndio hulka yake,kama unajipa time fanya kuacha tena 50k au zaidi akirudia mchezo huo piga chini direct usipofanya hivo utaingia kwenye zile records za ndoa zinazodum muda mchache,mapenzi hayana ushauri tumia akili zako ila this is reality,HAKUNA MWANAMKE HAPO,personal mwanamke mwenye matumizi mabaya ya pesa kwangu it’s a turn off kabisa
Ushauri mzuri sana.
Ubarikiwe sana
 
ikumbukwe hakuna mwanadamu asie na kasoro na mapungufu,nikusisitize usichoke kuwa na tunu za uvumilivu ,upo pale kukamilisha mapungufu ya mwenza wako, tumia busara za mazungumzo na maafikiano ili muende sambamba, Hasa hilo la kukupandishia kibezi aache mara moja ,ongea nae hakuna sehemu utapata aliekamilika asie na dosari wala doa...utaacha wangapi kijana?, kaa chini yajenge na mkeo ila kama anachepuka piga chini ila matumizi mabaya hata waungwana wanayo hasa matumizi mabaya ya muda.
 
Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.

Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Halafu vitu vinavyoonekana alinunua leo ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5. Eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani halafu kwao ni maskini, hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza, ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.

Ukimpiga chini nitafute tuyajenge, matajiri km nyie mpo wachache sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kujikuta mwamba. Ungekua una umwamba huo usinge kuja jf kuomba namba za mademu walio kula wenzio....kifupi wewe ni looser mzee wa loose ball.

We ni fala kweli, kuna tuzo humu? Tunaandika vitu huku kufurahi, kwa hiyo wewe kenge unafikiri mimi nina shida na mwanamke huku? Shenzy kabisa.
 
Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote.

Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika yote.

Halafu vitu vinavyoonekana alinunua leo ni maziwa ya unga 400g, cocoa ya elfu 5 na tea masala ya elfu 5. Eti elfu 50 imeisha. Kwanza hivyo vitu vina umuhimu gani zaidi ya kuchezea hela tu? Yaani halafu kwao ni maskini, hauwezi amini kwanini haheshimu pesa.

Nikimuuliza, ananipandishia sauti. Nimewaza nimkatae tu.
Sasa na wewe mkuu kwa nini unamwachia hela yote hiyo...ulitaka aiangalie tu?! Basi usiwe unamwachia
 
Ushasema kwao ni masikini sasa unalalamika nini mkuu anatuma hela kwao kukidhi mahitaji ya nyumbani kwao kwa sababu ni masikini.
 
Pesa haiwezi fanya mtu awe na Upendo na ww kama unatafuta pesa Ili uje upendwe na mkeo basi unakosea Mkuu!!! Maana wapo wengi tu walikua na pesa lakin waliachwa na wake zao Wala hawakupendwa mfano mzuri ni Bill Gate ALIEWAI Kuwa tajiri wa kwanza Duniani lakin pamoja na yote aliachwa
Kwa life la Bongo 50 ni Hela ndefu kwa siku ukizingatia kwa mjibu wa maelezo ya jamaa hapo Kila kitu kipo, kiufupi huyo Mke hampendi na haelewi maisha ndo maana yupo kwa ajili ya kula kulala.

Upendo haupimwi kwa pesa
Umepiga kwenye mshono mkuu. Yaani malaya wanatuhamasisha tutafute hela then tuwapatie ili waturudishie upendo na vijana tulivyo malimbukeni tunaamini kwenye kununua upendo. Mtoa mada kama umeshamuelekeza na bado atii basi hapo hakuna mahusiano wewe katafute saizi yako na yeye akatafute size yake hiyo ndio win win situation mwambie asisubiri embe chini ya mnazi.
 
Fasta piga chini

Back
Top Bottom