Hilo halina ubishi mbona mkuu. Tunaiumia ni sisi mashabikiIla Simba ina shida sana msimu huu timu haiko sawa!!!
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Naona alikukera sana. Maana jeuri yenu yote ipo kwa Mayele na yeye alinyooka na jeuri yenuYule mvuta bangi wenu aliyemkamia Mayele kwani leo hakucheza?
Onyango bado ana hangover ya MayelePale Pale Onyango Alipochoma ilibidi Simba Adhibiwe Goli La Tatu Wamezubaa Namungo ila Uwezo Wanao Wa Wakushinda Ttz Hawajiamini Tu
Kwahiyo wao wakichomeka wao wanachomoa hahahhaasimba badala ya kula nyama kala pilau
Mjinga huyu kawanyima NAMUNGO goal la waziRefa amalize mpira wengine tunaishi mbali.
🤣🤣🤣Kwahiyo wao wakichomeka wao wanachomoa hahahhaa
Mvuta bangi anaetetemeka tangu lini anikere?Naona alikukera sana. Maana jeuri yenu yote ipo kwa Mayele na yeye alinyooka na jeuri yenu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hakuna uhalali maana clear goal la Chirwa refa amekataa,sijui ameona aibu kumuabisha yule beki wenu anayecheza na jukwaaMatokeo ya leo ni halali kabisa. Sio kama yale aliyopata Yanga kwenye uwanja huo huo
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Eti Ilingia kwa mbinde sanaaaa
Kwahiyo ushakubali!!?Matokeo ya leo ni halali kabisa. Sio kama yale aliyopata Yanga kwenye uwanja huo huo
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kamwokoa beki wao wanayemuimba kila sikuSimba kama wangekuwa hawabebwi na marefa wangekuwa na point sawa na Azam
Asante marefa kwa kuwatunzia heshima mikia