Simba yahitaji Total Overhaul kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji
Wachezaji wapo wengi ambao hawatufai, hivyo tuwateme wote na kuanza upya tukijipa miaka 2-4 ya kupanda kimataifa.
Wachezaji kama Kagere,Wawa, Mzamiru, Nyoni, Lwanga, Mkude, Sadio, Kibu, Mugalu, Bocco, Chama, Banda, Morison hawatufai kwa sasa
Hawa ndo wanatukamua sana kibajeti.
Hawa waondolewe kwa mikataba yao kuvunjwa na tukuze vipaji au tununue wachezaji wazuri kutoka hapo Kongo
Matola na makocha wenzake, Mkurugenzi Rwemamu, hawa waondolewe
Wanaohusika na Scouting waondolewe