Kibulungwe
Senior Member
- May 2, 2022
- 155
- 285
Tusubiri muda ufike, ndio maana nimesema Yanga wasipofikia levels za Simba kwenye hatua za makundi na robo fainali tutathibitisha Simba ndio timu bora Afrika Mashariki!Yanga haina timu ya kufika level hizo kimataifa
Mkuu hii ilikuwa SHIRIKISHO, usifananishe hayo mashindano.Ukifuatilia vizuri robo fainali tatu alizocheza Simba utagundua kwamba hii ya mwisho atleast amejitahidi kidogo hakutoka kinyonge kama robo fainali mbili zilizopita!
Sawa nakubaliana na wewe Mkuu, ukiangalia vizuri timu nyingi zilizopo shirikisho ndio nyingi huwa zinapambana huko huko club bingwa mfano TP Mazembe na nyingine!Mkuu hii ilikuwa SHIRIKISHO, usifananishe hayo mashindano.
Ninajua kwamba club bingwa unapambana na timu zilizokuwa mabingwa kwenye nchi zao lakini hilo halifanyi shirikisho kwamba ndio rahisi kutamba hata kule kuna vigogo!Sawa nakubaliana na wewe Mkuu, ukiangalia vizuri timu nyingi zilizopo shirikisho ndio nyingi huwa zinapambana huko huko club bingwa mfano TP Mazembe na nyingine!
Ndio maana unaona Afrika Mashariki yote imetoa timu moja pekee wakati wenzetu wa magharibi wana timu zaidi ya sita kwenye ngazi ya robo.Ninajua kwamba club bingwa unapambana na timu zilizokuwa mabingwa kwenye nchi zao lakini hilo halifanyi shirikisho kwamba ndio rahisi kutamba hata kule kuna vigogo!
Vipi mtani, kuna haja ya kukutaarifu hali yangu ikoje au tumuulize Masau😂Mtani Bill hali yako ikoje huko? 🤣🤣
Ujue hadi nimecheka. Lol.Vipi mtani, kuna haja ya kukutaarifu hali yangu ikoje au tumuulize Masau😂
Haya mambo mtani acha tu usipokuwa makini unapata presha wenzio wanatengeneza pesa. Acha wanaostahili kushinda washinde, wakishinda wa kwetu tunafurahi 😂
Hakika. Tutaona watakachofanya kimataifa. Kwanza watupe malengo yao ni kufika hatua ganiUtopolo bila Mayele ni wepesi kama karatasi, na akina Henock wapo wengi michuano ya CAF
Na majibu yatapatikana Kimataifa