Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Yanga haina timu ya kufika level hizo kimataifa
Tusubiri muda ufike, ndio maana nimesema Yanga wasipofikia levels za Simba kwenye hatua za makundi na robo fainali tutathibitisha Simba ndio timu bora Afrika Mashariki!
 
Ukifuatilia vizuri robo fainali tatu alizocheza Simba utagundua kwamba hii ya mwisho atleast amejitahidi kidogo hakutoka kinyonge kama robo fainali mbili zilizopita!
Mkuu hii ilikuwa SHIRIKISHO, usifananishe hayo mashindano.
 
Sawa nakubaliana na wewe Mkuu, ukiangalia vizuri timu nyingi zilizopo shirikisho ndio nyingi huwa zinapambana huko huko club bingwa mfano TP Mazembe na nyingine!
 
Ninajua kwamba club bingwa unapambana na timu zilizokuwa mabingwa kwenye nchi zao lakini hilo halifanyi shirikisho kwamba ndio rahisi kutamba hata kule kuna vigogo!
 
Ndio maana unaona Afrika Mashariki yote imetoa timu moja pekee wakati wenzetu wa magharibi wana timu zaidi ya sita kwenye ngazi ya robo.
 
Mtani Bill hali yako ikoje huko? 🤣🤣
Vipi mtani, kuna haja ya kukutaarifu hali yangu ikoje au tumuulize Masau😂

Haya mambo mtani acha tu usipokuwa makini unapata presha wenzio wanatengeneza pesa. Acha wanaostahili kushinda washinde, wakishinda wa kwetu tunafurahi 😂
 
Ujue hadi nimecheka. Lol.

Kwa kweeli. 😅
 
Utopolo bila Mayele ni wepesi kama karatasi, na akina Henock wapo wengi michuano ya CAF

Na majibu yatapatikana Kimataifa
Hakika. Tutaona watakachofanya kimataifa. Kwanza watupe malengo yao ni kufika hatua gani
 
Back
Top Bottom