Namungo FC yazuiwa Uwanja wa Ndege Angola

Kumbe umejijibu mwenyewe hata hao Namungo wanaweza kuwa wamepata corona safarini. Hakuna limit mwisho kupata corona watu watatu juzi to Aston villa karibia first eleven yote corona cha ajabu nini.
Kwanza hakuna kipimo cha dakika 2 hiyo rapid test tu dakika 15 cha dakika mbili labda hicho kipya cha wachina.
 
sheria Inase
Kumbe umejijibu mwenyewe hata hao Namungo wanaweza kuwa wamepata corona safarini. Hakuna limit mwisho kupata corona watu watatu juzi to Aston villa karibia first eleven yote corona cha ajabu nini.
sheria Inasemaje kama hao watatu wana corona basi match iendelee ? n
 
Kumbe umejijibu mwenyewe hata hao Namungo wanaweza kuwa wamepata corona safarini. Hakuna limit mwisho kupata corona watu watatu juzi to Aston villa karibia first eleven yote corona cha ajabu nini
Hahaha we jamaa utakuwa mtu wa kigoma
 
Hizo ni figisu za kuwatoa mchezoni
Nimeskia jamaa walipelekwa kambini huko maana hiyo ni team ya jeshi mpka sasa wapo ndani ya bus hawajapewa hata kitu ..

Halafu wakija bongo tunawapokea ..!
Huu ujinga ufe Leo
Kwanza wakija huku tunahamisha uwanja wakachezee kigoma huko
Wapitie lugalo kwanza wakale viboko
 
Hii inaweza pia kuwa technic ya kuwatoa mchezoni

Kabisa, maana huku kwetu corona hakuna watu hufa zaidi kwa uzee, pneumonia, magonjwa mengine na ajali ajali zikiwamo za magari.

Corona? Kwetu hiyo haipo. Asema mzee baba.
 
sheria Inase

sheria Inasemaje kama hao watatu wana corona basi match iendelee ? n
Sina uhakika na sheria za CAF ila league zingine muhimu uwe na wachezaji 14 lakini pia kuna mechi ulaya zimehamishwa viwanja vingine sababu ya sheria za nchi quarantine.
 
sheria Inase

sheria Inasemaje kama hao watatu wana corona basi match iendelee ? n
In accordance with the guidelines of the FIFA and CAF health protocols against CoVID-19 and for the resumption of competitions, players testing positive for the virus are not allowed to participate in matches. kwa mujibu mechi inachezwa ila wachezaji positive hawatashiriki
 
Ndiyo ujue kujitolea kwetu kuzikomboa hizi nchi kulitutia hasara bure. Na daima shukrani ya punda daima ni mateke
 
Safi sana mnaleta mambo ya kitoto ya Lindi na Chato, mnakataa kutumia chanjo, mnakataa kupimwa ili muwapelekee wengine magonjwa? No entry in their territory shit. Pelekeni upumbavu wenu kwenu
 
Watawaruhusu kuondoka kesho asubuhi ili kuwakomoa
 
Kumbe umejijibu mwenyewe hata hao Namungo wanaweza kuwa wamepata corona safarini. Hakuna limit mwisho kupata corona watu watatu juzi to Aston villa karibia first eleven yote corona cha ajabu nini.
Ajabu ni waTz kujifanya hatuna Corona .
Kwamba maombi yaliimaliza Corona !!
 
Hamna cha maombi Corona ipo. Na inakula vichwa ipendavyo
Unabisha nini wakati jembe, mtukufu, kiongozi wa malaika Dk John Pombe Joseph Magufuli amesema haipo.

Aah sorry ipo kidogo.

Nimekosea kuna watu wamechanja kwa siri wametuletea Corona ya ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…