Kwanza hakuna kipimo cha dakika 2 hiyo rapid test tu dakika 15 cha dakika mbili labda hicho kipya cha wachina.Kumbe umejijibu mwenyewe hata hao Namungo wanaweza kuwa wamepata corona safarini. Hakuna limit mwisho kupata corona watu watatu juzi to Aston villa karibia first eleven yote corona cha ajabu nini.