Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Babu hiyo haisaidii kitu kama bado wenyewe hawajamove on toka mwaka 47.Lengo la kuongea naye ni kumchimba mkwara asilete mazoea na demu wangu, sasa Kuna shida gani kufanya kazi rahisi namna hiyo
Mkuu, wanasema ukicheka na nyani utavuna mabuwa
Pasipo kusahau kubugia dawa za pressure na sukari 😁Bila shaka Mkuu
Bahati nzuri vyuo vingi vya town vimefunguliwa, kwahiyo hatuwezi kukosa Wajukuu wa kutusaidia kuvuka barabara Siku hiyo 🤗
Kiporo kitamu.upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa nao hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.
Na huwa hakihitaji moto mwingi
😀😀😀Asa unamuogopea nini aisee mimi huyu kivuruge wangu anakula matusi sana na nahisi kazoea mshenzii huyu yaani anamiss ma ugomvi ndio maana hakomi
Kama unamuogopa usiwe unapokea simu yake wala kujibu sms
Sawa mpenzi wanguMmmh.
Nashukuru sana rafiki yangu🙏🏼
NAKAZIASiku akipiga uko na mchumba, mwambue apokee amwambie umetoka, ataacha hzo pigo
heh,,sawaSimchukii,na zamani kweli nilimpenda ila sasa hivi sihitaji stress na mtu
ila mbaya hii ya kuuana aseeee,,yani huyo mtu hata kuanzisha familia nayeye hafai kabisaumepita mule mule mkuu wangu, hao watu wa hivyo ni hatari mno kwake mashambuliz ni mpaka kwa ndugu, omba yasikukute.
Sawa babaNjoo ni kusuprise Hadi utamsahau bwana wako
Roho imeniambia wewe ni mwanamke sahihi kwanguNini kinafanya uhisi naweza m replace Zulekha?
KabisaHahaha
Badi tuyajenge chap ibaki utekelezaji tu
sema nayeye kama ana mpenzi mwingine hajamkoleza, mbona kumpuuza mtu ni kazi rahisi haswaa pale ukipata chenye uthamani zaidi yake.upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa na hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.
Upo sahihi sana kumbe kuna muda huwa zinachaji vizuri tu 😂ila mbaya hii ya kuuana aseeee,,yani huyo mtu hata kuanzisha familia nayeye hafai kabisa
Sawa.Roho imeniambia wewe ni mwanamke sahihi kwangu
Kuna mapengo huwa hayazibiki mama, kuna watu hawanaga replacement utahangaika hadi utage uji kupata wa kumfikia na kumzidi. Kuna kitu huyo mwamba anacho ambacho ndio kinamzuzua binti.sema nayeye kama ana mpenzi mwingine hajamkoleza, mbona kumpuuza mtu ni kazi rahisi haswaa pale ukipata chenye uthamani zaidi yake.
Sawa dear ila naomba usinichukulie vibaya hii ni ID tu sipo hivyoSawa.
Acha na mimi nisubiri sauti ya roho mtakatifu inasemaje juu yako🙏🏼
unanionaga mimi boya sana sio😂,uo n ukwel,we mtu unaona mkipshana kdogo tu keshavunja cm ya laki saba kama mpo geto tv ya 55 inabondwa na fagio la chuma,,sasa huyo kutakua na maendeleo kwel,,hio ni warning ya mwanzo tu shtukaaaa.Upo sahihi sana kumbe kuna muda huwa zinachaji vizuri tu 😂
Yamekua hayo tena shogare😀😀au n njia nyingine ya kutangaza kutafta mchumba 😂mnahangaika kutoa ushauri wenzenu wako pm wanapima uwezo,,hebu Half american shtuka nenda nawewe, ingawa wengine wamefunguka humu humu.