Namuogopa X wangu

Namuogopa X wangu

Lengo la kuongea naye ni kumchimba mkwara asilete mazoea na demu wangu, sasa Kuna shida gani kufanya kazi rahisi namna hiyo

Mkuu, wanasema ukicheka na nyani utavuna mabuwa
Babu hiyo haisaidii kitu kama bado wenyewe hawajamove on toka mwaka 47.
 
upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa nao hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.
Kiporo kitamu.

Cc: Valhalla
 
Asa unamuogopea nini aisee mimi huyu kivuruge wangu anakula matusi sana na nahisi kazoea mshenzii huyu yaani anamiss ma ugomvi ndio maana hakomi

Kama unamuogopa usiwe unapokea simu yake wala kujibu sms
😀😀😀
Hayo matusi unamlambisha mkiwa pamoja au kwa simu au kwa sms?
Eti kiviruge😀😀
 
upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa na hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.
sema nayeye kama ana mpenzi mwingine hajamkoleza, mbona kumpuuza mtu ni kazi rahisi haswaa pale ukipata chenye uthamani zaidi yake.
 
sema nayeye kama ana mpenzi mwingine hajamkoleza, mbona kumpuuza mtu ni kazi rahisi haswaa pale ukipata chenye uthamani zaidi yake.
Kuna mapengo huwa hayazibiki mama, kuna watu hawanaga replacement utahangaika hadi utage uji kupata wa kumfikia na kumzidi. Kuna kitu huyo mwamba anacho ambacho ndio kinamzuzua binti.
 
Upo sahihi sana kumbe kuna muda huwa zinachaji vizuri tu 😂
unanionaga mimi boya sana sio😂,uo n ukwel,we mtu unaona mkipshana kdogo tu keshavunja cm ya laki saba kama mpo geto tv ya 55 inabondwa na fagio la chuma,,sasa huyo kutakua na maendeleo kwel,,hio ni warning ya mwanzo tu shtukaaaa.
 
Back
Top Bottom