Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pm waende hao hao mimi hapana, michezo ya pm siitaki tena na nampenda huyu wangu.au n njia nyingine ya kutangaza kutafta mchumba 😂mnahangaika kutoa ushauri wenzenu wako pm wanapima uwezo,,hebu Half american shtuka nenda nawewe, ingawa wengine wamefunguka humu humu.
duuuh,,basi mim nna mapepo,nkipata kipya tu cha zamani naona 💩 😂,sema nna tabia ya kumganda mtu na kusamehe sana na kuvumilia sana pia, kiasi kwamba nkikuchukia na kukutoa rohoni,sitakumbuka jema lako hata moja.Kuna mapengo huwa hayazibiki mama, kuna watu hawanaga replacement utahangaika hadi utage uji kupata wa kumfikia na kumzidi. Kuna kitu huyo mwamba anacho ambacho ndio kinamzuzua binti.
Kuwa na amani kaka nguSawa dear ila naomba usinichukulie vibaya hii ni ID tu sipo hivyo
ujanja mwingi,,ila usiwakataze wacha waje kukufariji😌Yamekua hayo tena shogare😀😀
Masikhara mengi ndio maana.unanionaga mimi boya sana sio😂,uo n ukwel,we mtu unaona mkipshana kdogo tu keshavunja cm ya laki saba kama mpo geto tv ya 55 inabondwa na fagio la chuma,,sasa huyo kutakua na maendeleo kwel,,hio ni warning ya mwanzo tu shtukaaaa.
Yani mm najichekesha na kukuvizia kumbe unae wa kwako😢, kuanzia leo usinitagPm waende hao hao mimi hapana, michezo ya pm siitaki tena na nampenda huyu wangu.
Nakuahidi sitoruhusu ufikie hatua hiyoduuuh,,basi mim nna mapepo,nkipata kipya tu cha zamani naona 💩 😂,sema nna tabia ya kumganda mtu na kusamehe sana na kuvumilia sana pia, kiasi kwamba nkikuchukia na kukutoa rohoni,sitakumbuka jema lako hata moja.
Request acceptedYani mm najichekesha na kukuvizia kumbe unae wa kwako😢, kuanzia leo usinitag
inabid kwenda na upepoMasikhara mengi ndio maana.
Mtu wa hivyo kukudhuru ni rahisi mno.
TokaaaaNakuahidi sitoruhusu ufikie hatua hiyo
Uangukie mara ngapi? Maana unavyotoa experience ni wazi ulishakutana nayo hayo.inabid kwenda na upepo
Mungu anisaidie nisiwahi angukia kwenye hali hio.
and also........Request accepted
Jishaue tuTokaaaa
Hakika sijawahi,nashuhudia tu kwa wenzanguUangukie mara ngapi? Maana unavyotoa experience ni wazi ulishakutana nayo hayo.
🙌🏾🏃🏾♀️Jishaue tu
sema nipo kufanya uyatakayoand also........
Wenzako wanakwaya au?Hakika sijawahi,nashuhudia tu kwa wenzangu
Hahahaha kama kwel vilesema nipo kufanya uyatakayo
Umeanza 😂😂😂Wenzako wanakwaya au?
Sitaki nataka wewe🙌🏾🏃🏾♀️