Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pm waende hao hao mimi hapana, michezo ya pm siitaki tena na nampenda huyu wangu.au n njia nyingine ya kutangaza kutafta mchumba 😂mnahangaika kutoa ushauri wenzenu wako pm wanapima uwezo,,hebu Half american shtuka nenda nawewe, ingawa wengine wamefunguka humu humu.