Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

Kwa mtu yoyote anayejua mpira lazima akubali huyo jamaa anajua.Akija kuxoea ataupiga mwingi sana.Watani mmepata mchezaji mzuri hongereni.
Kweli kabisa kwa mtu wa mpira ni rahisi kuliona hilo.
 
Aziz Ki, ni mzuri sana, kwanza hakabiki akiwa na mpira, ana jua sana kuwatoka mabeki, na ana kwepa sana kupigwa mitama na mabeki, mjanja sana ana speed, highest ball control and target, ana dribble vema na anaweza fanya chochote ndani ya 18, ukiacha assist zake ndani au nje 18 ni za kuleta goal kabisa. Ni mzuri sana, ila position yake akae center forward behind Mayele, kamwe asiwekwe kama winger.
 
Hapa mkiongeza na yule mbrazil wa singida ah mbona mnakula kuku kwa mrija
 
Kabisa mkuu MAKOLO watapoteana
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
MAKOLo.....Kuna muda mnatema fact.....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Wamloge mchezaji kutoka West Africa!? Thubutuu...watalogwa wao
 
Namna anavyo cheza Azizz K ata baadhi ya wachezaji wa Yanga Awaja mwelewa bado. K AZZ anacheza soka la kisasa.
Wewe mchezaji mwenzake usi simame Ili akupe pasi, unachotakiwa kimbia katika eneo unalo taka yeye mpira atakufikishia.
Sasa Mayele Alisha mwelewa yeye akawa anakimbia kwenye njia anakutana nazo pasi za mwisho.
 
Ndio kiongozi upo sahihi naungana na ww
 
Kocha Nabi ana wakati mgumu msimu huu! Maana itamlazimu kumuacha kiungo wake mmoja mshambuliaji nje, ili huyu Aziz Kii aweze kucheza kati! Badala ya pembeni.

Sure Boy na Fei Toto, mmoja wao atatakiwa kusubiri nje bila shaka.
 
Yanga ya second half ndo ingeanza first half, simba angeondoka amepigwa mbili au tatu.
 
Kweli kabisa point tupu , assist yake ile ukiangalia kiufundi unagundua kua anaakili ya mpira na jicho la kuona mwenzake amejiposition na kupiga pasi kwenye move ya sawa.
Sasa hivi baadhi yao wanajitoa ufahamu wanakupinga, tena wanapinga kwa kitu kionekanacho machoni. Huu uzi ipo siku utambukwa.
 
Huu uzi utakua uzi bora wa mwaka trust me ,ninajiamini kama mchambuzi mbobezi.
Uzi wako utakuwa bora kama Mtu mmoja atakaa darasani na kufaulu somo la anticipation & positioning.
Huyu si mwingine ni Fiston Kalala Mayele. Akijua kukadiria wapi pa kuelekea, wapi akae muda gani mtamuona De Bruyne ndani ya Aziz Ki. Mayele aangalie matukio matatu kwenye mechi ya Jana,
1.Goli alilofunga kwa assist ya Aziz.
2.Goli alilokosa baada ya cross ya Aziz.
3.Mpira aliopishana nao Feisal kipindi cha kwanza baada ya penetration pass ya Aziz na kuzuiwa na Inonga na Momo kwa pamoja.
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Sijawahi kukuona ukiwa Mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…