Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

Namuona De Bruyne ndani ya Azizi Ki

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Moja kwa moja ..

Japo kwa gemu hizi mbili za karibuni hajakua na kiwango cha kuwakosha mashabiki ila nikimuangalia kwa uono wa kiufundi na kiuchambuzi pasi na touch nk zake za kiwango cha Epl akitulia kupata uzoefu wa ligi hii na kuzoema mazingira na mfumo wa klabu atasumbua sana .

Natabiri atakua KDB wa pili katika ligi yetu na kimataifa kwa ujumla

#Uzi Tayari
 
kdb-vs-utd-1(2).jpg
 
Ki Aziz Stephane, bonge la mchezaji, huu ndio usajili bora wa msimu, tunaita ceiling raiser, anafanya take ons, chance creation, the midfield powerhouse, unataka aoneshe uwezo gani zaidi ya alionesha leo? Goli la kwanza nadhani kaassist yeye, pia kampiga doba yule fala na akacreate clear chance Mayele kakosa, perfomance rating nampa 7/10. Napomuona Aziz Ki anacheza namsalute sana Eng Hersi, Top top player.[emoji122]
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
 
Kweli kabisa half ya Kwanza coach Nabi alikosea kumposition ki Aziz winger lkn nadhani aliliona Hilo ndio maana baadae DK 45 za pili kocha akamrudisha katikati nyuma ya mayele ndio akaanza kuwa htr mpaka akaasist goli la kwanza

Nadhani ki Aziz ni mzur Sana Attacking midfielder mwenye spid na Kwa soka la yanga namuona yupo sehem sahihi
 
Ki Aziz Stephane, bonge la mchezaji, huu ndio usajili bora wa msimu, tunaita ceiling raiser, anafanya take ons, chance creation, the midfield powerhouse, unataka aoneshe uwezo gani zaidi ya alionesha leo? Goli la kwanza nadhani kaassist yeye, pia kampiga doba yule fala na akacreate clear chance Mayele kakosa, perfomance rating nampa 7/10. Napomuona Aziz Ki anacheza namsalute sana Eng Hersi, Top top player.
emoji122.png
Kweli kabisa point tupu , assist yake ile ukiangalia kiufundi unagundua kua anaakili ya mpira na jicho la kuona mwenzake amejiposition na kupiga pasi kwenye move ya sawa.
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Kweli kabisa ,inabidi Tff na bodi ya ligi waongeze hata viingilio kucheki maufundi ya dogo.
 
Huu uzi naupa walau nyota moja,

Kwanini?

Ni kwa sababu hapa tunachambua mchezaji na hatuongelei ushabiki.

Watu ambao msimu ujao hawastahili kubaki Yanga endapo watakuwa na msimu mzuri ni,

Stephane Aziz ki, kwasababu kwanza zile touchez zake, ambazo nasikitika baadhi ya wachezaji wenzake wanajichanganya, nakujikuta mpira unapokelewa na mpinzani, ila wakiunganika na wakamwelewa huyu jamaa basi timu pinzani hasa kwenye ligi ya ndani zijiandae kuumia.

Mwingine ambaye hata baki jangwani ni fiston Mayele huyu msimu ujao huenda akasainishwa na timu kubwa , nje ya nchi hii.

Ni Mayele ambaye kashindwa kubeba kiatu msimu uliopita kwa bahati mbaya ila mwaka huu mmmmmmmh

Tusubiri tuone.

Nb:Uzi umejikita kumzungumzia Aziz ki ila naachaje kumzungumzia bwana mdogo Mayele?
 
Hii comment naipa nyota 5
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Duh ni wewe au umedukuliwa account? Mnazi wa Simba leo unaongea haya?
 
Nisiwe mnafiki, aziz ki ni mchezaji wa kiwango, amenikosha kwa kweli, nilikua napenda mda wote ashike mpira yeye, kuna kata funika 1 hivi, afu aka dribble aaaah wee alinikosha kwa kweli.

Kwa Aziz Ki, labda arogwe, asiporogwa Next MVP wa msimu.
Uko 🔥 🔥
 
Ntatamani kukosoa lakini makosa nguvu kwakua tumepigwa jana..ngoja siku zipite ntarudi
 
Ana kitete cha ugeni ngoja na anajapa muda wa kuzoeana na wenzanke wamtembeze siku mbili tatu mitaa ya Buza kwa Lulenge ,kwa mtogore nk achamgamke kidogo kisha uje kutoa mrejesho hapa.
 
Back
Top Bottom