Ndio, isijekuwa mleta uzi ni team NuhuHahaaaa. Unataka na weye uone ushamba wa Uchebe lol.
Hahaaa. Huenda ikawa pia. Ila mi nimeiona hiyo video na nimeona huyo Uchebe yupo sawa.Ndio, isijekuwa mleta uzi ni team Nuhu
Wacha na mimi niipitie nione yukojeHahaaa. Huenda ikawa pia. Ila mi nimeiona hiyo video na nimeona huyo Uchebe yupo sawa.
Sa sijui na mie ndio wale wale washamba. [emoji85]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]It takes a time for real man to make women satisfied. Huwezi kujua Shilole kampendea nini Mr Uchebe na ukizingatia kwamba wanaume tumekuwa adimu sana karne hii. Tuwatakie maisha mema na ndoa yenye furaha.
Mume wako ujanja wake nini?Sijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
Sawa kapitie na wewe Mkuu.Wacha na mimi niipitie nione yukoje
Harusi inakua kama Shilole ndo anaoa. Kila anaekuja mbele ni Shilole-Shilole jamaa kazubaa tu. Aisee wacha nitafute pesa
Ndo mana waliingia na wimbo wa mwanaume mashine, sio mwanaume ushamba.Sijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
Amna mkuuu sema jamaa co maarufu ko lazma vitu kaizo zitokeeHarusi inakua kama Shilole ndo anaoa. Kila anaekuja mbele ni Shilole-Shilole jamaa kazubaa tu. Aisee wacha nitafute pesa
Baby iv nkuoa lini? Au na mm utaonekana ndio unanioaTuwekeeni picha za harusi na sisi tuliokosa kadi tuzione.
Maskini hako katoto umekaona kanavyokosa confidence? Nasikia ni mhaya, na kama ni kweli hako kako kama zari kanajua kanatafuta njia ya kutoka usikadharauAsante mkuu nimewaona Ashraf na Zuwena wamependeza sana.
Mimi ninapenda Shilole, ni mwanamke anaejiamini. Wengi wanasubiri kuolewa na mwanaume mwenye pesa, yeye anaangalia mapenzi.Maskini hako katoto umekaona kanavyokosa confidence? Nasikia ni mhaya, na kama ni kweli hako kako kama zari kanajua kanatafuta njia ya kutoka usikadharau