Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Ujinga nikumuita mwanamme mwenzako mshamba akati yeye ni yeye naww ni we.

Ivi ukiwa mjanja wamambo ,kuna faida ??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
It takes a time for real man to make women satisfied. Huwezi kujua Shilole kampendea nini Mr Uchebe na ukizingatia kwamba wanaume tumekuwa adimu sana karne hii. Tuwatakie maisha mema na ndoa yenye furaha.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Harusi inakua kama Shilole ndo anaoa. Kila anaekuja mbele ni Shilole-Shilole jamaa kazubaa tu. Aisee wacha nitafute pesa

😱😱😱😱😱 hii harusi ni mbaya sana aisee huyu baba mc kama katokea shimoni? mc gani huyu😡😡😡😡😡
 
Ushamba ni Nini..?!....Kisaikolojia mtu anaemwita mwenzie Mshamba Basi kutakuwa na kitu/uwezo Yule anaeitwa Mshamba anacho/anao... na huyu anaemwita mwingine mshamba hana Huo Uwezo/hicho kitu....kwa kifupi ni( WIVU)
 
Hata wewe Mleta mada ni mshamba au hujui kufatilia mwanaume Mwenzio ni ushamba
 
Maskini hako katoto umekaona kanavyokosa confidence? Nasikia ni mhaya, na kama ni kweli hako kako kama zari kanajua kanatafuta njia ya kutoka usikadharau
Mimi ninapenda Shilole, ni mwanamke anaejiamini. Wengi wanasubiri kuolewa na mwanaume mwenye pesa, yeye anaangalia mapenzi.

Kweli kijana ni mdogo na kwa umri wake wazazi wake wameshindwa kuhudhurua harusi au ni yatima?
 
inshrot jamaa hana wapambe ndo maana ila kiukweli harusi iko kama shilol ndo anaoa na jamaa anaonyesha kama kalazimishwa na shilole maana yuko yuko tu
 
Back
Top Bottom