Namuona Mume wa Shilole ni Mshamba

Mimi ninapenda Shilole, ni mwanamke anaejiamini. Wengi wanasubiri kuolewa na mwanaume mwenye pesa, yeye anaangalia mapenzi.

Kweli kijana ni mdogo na kwa umri wake wazazi wake wameshindwa kuhudhurua harusi au ni yatima?
Hata angalikuwa mwanangu nisingejiaibisha kuhudhuria! Hata midomo yake unaiona ilivyobabuka kwa ajili ya chumvi
 
Hata angalikuwa mwanangu nisingejiaibisha kuhudhuria! Hata midomo yake unaiona ilivyobabuka kwa ajili ya chumvi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] chumvi ipi ww au uvinzani au kanazibua sana mitaro kwa mdomo [emoji104] [emoji104]
 
Wasukuma woote ni washamba.mf.jpm,bashite,masha etc etc.we tafuta tuu msukuma mmoja mfuatilie.ndo utajua washamba wakoje.au google uone
Tatizo Mkizidiwa jambo/kitu huwa mnaweka Ngao Ya Ushamba....Tumewastukia na Hamtusumbui na hilo neno lenu....Mtuache na Ushamba wetu Kaeni na UJUAJI WENU..tumeshawastukia
 

Hio picha mkuu una maanisha nn
 
Haya ni majungu Na umbea. Wanaume tunajadili issues sio mambo ya watu. Awe mshamba awe mjanja hautofaidika kamwe Na huyo jamaa. Jenga maisha yako achana Na kufuatilia WANAUME wa watu
mbuji_mbuji leo umenena
 
Mtoa mada kachanja mbuga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Sababu ya ushamba

Mtoa mada nipo active muda wote mbona! Naona tu baadhi yenu mnaunga na mshamba mwenzenu hivyo soon na nyie mtaolewa kama mwanaume mwenzenu
 
Sijui ni Mimi tu namuona hivo au na wengine wanamuona hivo lakini ukweli ndio huo. Ni mshamba hata kwenye arusi yao alithibitisha ushamba wake
Acha wivu we jamaa. Ushamba sio ugonjwa ni mtazamo wa mtu binafsi akiwa anamaanisha nini. Watu wanajali afya njema na tabia njema, pesa ni matokeo ya juhudi inapokutana na fursa kwa wakati mmoja. Nina imani kuwa mke na mume wakiunganisha juhudi na fursa zilizoko na zitakazojitokeza mbele yao watafika mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…