Hata angalikuwa mwanangu nisingejiaibisha kuhudhuria! Hata midomo yake unaiona ilivyobabuka kwa ajili ya chumviMimi ninapenda Shilole, ni mwanamke anaejiamini. Wengi wanasubiri kuolewa na mwanaume mwenye pesa, yeye anaangalia mapenzi.
Kweli kijana ni mdogo na kwa umri wake wazazi wake wameshindwa kuhudhurua harusi au ni yatima?