Kiukweli mapenzi ni upofu , kila nikikaa nikimuangalia huyo uchebe sioni chochote alichonacho pesa hana sura hana hajui kuvaa , hajachangamka yani yupo yupo tu kama sanamu la michelini.
Shilole tangu nithibitishe anamtanulia miguu huyu muuza oil chafu na fundi gereji nimemuona ni mtu wa hovyo sana hata ile sapoti niliyokuwa nampa nimeisitisha na mawasiliano yake pia nimekata .
Kwanza hata picha zao za harusi sikuziposti na sikuhudhuria pia maana ni kituko kama sio kioja cha karne[emoji57] [emoji57]
Kwanza wamekutana Shishi mchafu na huyo uchebe naye mchafu