Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.

Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.

Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.

Screenshot_20221030-132842.png
 
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.

Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwsnda wameutumia vitani.

Na ndhani hata nchi zote za Easr Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lkn hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
Kagame mna mrate wrongly kabisa. Vita gani kapigana Afrika hii?
 
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.

Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwsnda wameutumia vitani.

Na ndhani hata nchi zote za Easr Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lkn hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
Kibaraka wa wamagharibi huyo hawezi kuwa Putin
 
Kuivamia kongo si masihara
Kongo kubwa...
Aendele tu kuwapiga pembezoni huku
Ilaa kuingiza jeshi lake ndani ya kongo
Hawezi
Na wakongo nao wamezidi kukatakata mauno tu,na kuna nchi moja tuneelekea kuwa kama kongo
Maana wakata mauno wanazidi pewa
Kipaumbele

Ova
 
Frankly speaking, you're not Tanzanian.

Ile ya Uganda ilikua siasa tukaambulia kuambiwa kua General Amin anakula nyama za watu, mara anachukua vilema anawatupa waliwe na mamba, wakati ukienda Uganda hadi leo wanamkubali Amin waganda walio wengi, Moja ya makosa makubwa ya Mwalimu ni kuingiza nchi vitani ambapo vita iliua uchumi wetu kabisa hadi leo tuko hoi,
 
Back
Top Bottom