MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Anhaaa........Niliwahi sikia inshu ilikuwa usuluhishi wa Kikwete kati ya Wa Rwanda waishio Kongo na Kagame wakati Kikwete akiwa Chair Person wa AU.
Kikwete akasema wakutane hao jamaa na Kagame watatue matatizo yao.
PK hakupendezwa kusuluhishwa na hao jamaa...kilichofuata ni maneno ya dharau na vitisho.
Nakumbuka niliona video moja Twitter PK alikuwa ameenda kufunga mafunzo ya ukakamavu ya vijana kama ilivyo huku kwa form six. Then akapiga dongo kuwa mtu asiyejua historia yao harusiwi kuingilia mambo yao na maneno mengine ambayo indirectly ni kama vile response ya AU chair man in that time.....
Ikafuata OP Kimbunga....ikazinduliwa Ngara...Kikwete akiwa na full detail ya security karibia wote ktk uzinduzi wa OP na ilikuwa mara chache sana Kikwete kuwa na CDF, TISS Dir ktk mkutano mmoja wa public so watu wakajiongeza......
Interesting........