Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.
Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
ni mjinga peke yake anaweza kuamini kwamba landlocked country ambayo ni masikini kama rwanda, haitengenezi silaha, haina viwanda, inatembeza bakuli kwa wazungu wanaweza kushinda vita dhidi ya nji nyingine jirani. rwanda walichofanikiwa ni propaganda tu na kuuaminisha umma kwamba wana uwezo. mbona kipindi kile JK ameliamsha kwa operation kimbunga waliamua kumuomba Tony Blaire aje aombe poo kwa JK? usifananishe na nchi kama Israel ambayo ndani yake kuna nukes, kuna viwanda vya ndege za kivita, kuna viwanda vya silaha nzito, kuna viwanda v ya makombora ya ulinzi na hawategemei nchi nyingine. hapohapo more than 10m Jews ni Wamarekani wanaoishi america na wanatoa mchango wa pesa kabisa kwenye serikali na ndio wanaotawala dunia.
sipendi vita, ila hata mimi ningekuwa kagame, ningefanya anachofanya kwasababu zifuatazo:-
1. Eastern Congo kuna wanadamu wengi sana wenye asili ya Rwanda, na wamekuwa wakitengwa serikalini kule congo,
2. rwanda ni nchi ndogo yenye population, wanahitaji kupumua, kupumua kwao ni kupata ardhi nyengine, hivyo kama hao eastern congo (banyamlenge) wakifanikiwa kujitenga, watajiunga na rwanda na rwanda itakuwa na eneo kubwa zaidi.
congo ni nchi corrupt, na rahisi kuitawala hata kwa remote. hivyo, ili kagame apate ardhi nyingine, ni lazima afanye anachofanya hicho kwa kusapoti m23 wajitenge afu watangaze kujiunga na rwanda. halafu, nguvu hao rwanda hawana kiviiile, unakumbuka JK alivyosambaratisha M23 hadi wakakimbilia Rwanda kipindi kile, walipata kichapo cha kueleweka wakatimua mbio. na Rwanda hakuwa na chochote cha kufanya. kagame ameshazeeka, labda amweke mtoto wake, muda si mrefu hayo mambo ya ugomvi yatakuwa historia.