Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Case ya putin ni tofauti na ya huyo unayemsifia Yale Maeneo yaliyorudishwa urusi ni Maeneo halali ya urusi watu mnatakiwa kujua kwanini warusi wameamua kurudisha Yale Maeneo.
siamin kama unajua hata kugoogle mbali na kusoma somo la historia huko shulen
 
Kuivamia kongo si masihara
Kongo kubwa...
Aendele tu kuwapiga pembezoni huku
Ilaa kuingiza jeshi lake ndani ya kongo
Hawezi
Na wakongo nao wamezidi kukatakata mauno tu,na kuna nchi moja tuneelekea kuwa kama kongo
Maana wakata mauno wanazidi pewa
Kipaumbele

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na ujinga wetu mwingi lakini kati ya maeneo ambayo Tanzania ni imara ni upande wa jeshi na ujasusi. Kundi dogo la special elites wa JW wanaweza kuingia HQ yao within 3days [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kumbuka kuwa rwanda ina ukubwa wa km za mraba 26,000 sawa na mkoa wa Tanga
Weledi wa jeshi hautegemei ukubwa wa eneo la nchi. Unajua kwamba Israel kwa eneo ni nchi ndogo Sana? Lkn haigusiki.

Lete data za weledi wa kijeshi kuonesha kwamba Tanzania iko juu ya Rwanda.
 
Ninachojua kipindi cha Jk mzee wa Msoga,huyo Kagame wenu alifanyiwa movie moja hatari na hakuamini.Wewe fikiria kama leo unaamka unakuta jiji la Dar lote wamejaa tayari wajenda wa adui,utaacha kuwa mpole?.
Fafanua kidogo mkuu, wengiine tulikua wadogo saana.
 
Pamoja na ujinga wetu mwingi lakini kati ya maeneo ambayo Tanzania ni imara ni upande wa jeshi na ujasusi. Kundi dogo la special elites wa JW wanaweza kuingia HQ yao within 3days [emoji41]
Jipigie makofi kwa stori za kijiweni.
 
jeshi lolote lenye viambata vya uasi na ukabila ni jeshi dhaifu sanaa......

ukiacha sababu hiyo...

sababu nyingine ni hiyo aya ya kwanza.
Kagame ni kipenzi cha mabeberu
 
Weledi wa jeshi hautegemei ukubwa wa eneo la nchi. Unajua kwamba Israel kwa eneo ni nchi ndogo Sana? Lkn haigusiki.

Lete data za weledi wa kijeshi kuonesha kwamba Tanzania iko juu ya Rwanda.
unailinganisha israeli na rwanda? basi mshauri huyo hayawani mwenzako atie mguu tz
 
Unapomuongelea Putin na Russia unaongelea nchi inayopeleka 40% ya nishati kwenda Ulaya

Huyo PK ameweza kupeleka hata chupa moja ya maji ya kunywa huko Congo?
 
Kuivamia kongo si masihara
Kongo kubwa...
Aendele tu kuwapiga pembezoni huku
Ilaa kuingiza jeshi lake ndani ya kongo
Hawezi
Na wakongo nao wamezidi kukatakata mauno tu,na kuna nchi moja tuneelekea kuwa kama kongo
Maana wakata mauno wanazidi pewa
Kipaumbele

Ova
Alipomuondoa Mobutu alisaidiwa na Zambia (Chiruba), na baadae akataka kumuondoa kanbila kwakuwa kabila alikataa kumruhusu aibe mali za DRC, hapo ndipo Churuba alipomtilia ngumu na kujutia kwanini alimruhusu atumie ardhi yake kumuondoa Mobutu. Angola pia alimsaidia kwa kumpatia escape route iwapo akizidiwa. Kwasasa siyo rahisi kupataa sapoti ya jirani yeyeote. Uganda amechimba mkwala ndiyo maana kwenye mpaka wa DRC na Uganda pako salama
 
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.

Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.

Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.

View attachment 2402153
Hana jeuri hiyo!!!kwa jeshi gani alilonalo,Ni kwa vile jumuaia za kikanda nazo ni kama hazipo tu,na AU,na nikutokana na viongozi kama Nyerere,Mandela kutokuwepo.Hivi mfano EAC,waamue kuwa sasa basi kagame acha kuwasaidia M23, likapelekwa jeshi huko DRC,la EAC,kama kipindi kile cha JK.
 
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.

Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.

Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.

View attachment 2402153
Acha kumkosea heshima Putin, Kagame mnamu-overrate sana kitu gani kafanya cha maana mpaka mnamuogopa
 
Back
Top Bottom