Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.

Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.

Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.

View attachment 2402153
Jana kabipiwa Su25 just touched down in Rwanda and took off🤣🤣
 
Wewe Mushuti huwezi kuisema Tanzania vizuri, lakini kwa taarifa yako, Rwanda inashughulikiwa na kikosi cha Kakonko tu na ndani ya masaa 24 Rwanda inakuwa tarafa ndani ya Wilaya ya Kakonko na Kagame anakuwa Katibu Tarafa na tunampa pikipiki ya kutembelea Tarafa yake ya Rwanda! Ahahahahah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kongo aliingizwa kwenye jumuiya ya Afrika mashariki kimkakati na Kagame kaja kushtuka mwishoni sana, wana East Afrika wanataka wampige kagame MANDE, kagame atakuwa mpole sana kuanzia saiv.
 
Ninachojua tu ni kwamba hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ya Kuipiga Kijeshi Rwanda ya Kagame. Nimemaliza.
Wewe unaota, basi subiri au mwambie arushe hata manati tu kigoma aone Moto, kwanza tumevumilia sana kukaa bila kua na mkoa Wetu wa Rwanda.
 
Kagame alishawahi beep late 1990s, Wakati wa Anko Ben, mpaka Leo kichwa kinamuuma. Maana alipelekewa moto overnight. Hana uwezo wote huyu.
 
Back
Top Bottom