MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Okay.Na movie aliyochezewa,ilimpa somo tamu juu ya uwezo jeshi la Tz na kamwe hawezi jaribu kuleta fyokofyoko kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay.Na movie aliyochezewa,ilimpa somo tamu juu ya uwezo jeshi la Tz na kamwe hawezi jaribu kuleta fyokofyoko kwetu.
Hamza mmoja akiwa mikono mitupu aliwapeleka peponi polisi 15. Au umesahau?mshauri huyo hayawani mwenzako atie mguu tz
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani.
Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lakini hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
wabantu hushinda vita kichwan na kweny ground kila mtu mkia fyatuAtapigwa 4some,,,
hahahaaaaaaUnapomuongelea Putin na Russia unaongelea nchi inayopeleka 40% ya nishati kwenda Ulaya
Huyo PK ameweza kupeleka hata chupa moja ya maji ya kunywa huko Congo?
ikulu nying zinalindwa na jeshi lakeAcha kumkosea heshima Putin, Kagame mnamu-overrate sana kitu gani kafanya cha maana mpaka mnamuogopa
kwa hiyo vitani polisi ndiyo huenda?Hamza mmoja akiwa mikono mitupu aliwapeleka peponi polisi 15. Au umesahau?
Mbinu za jeshi ni siri.Itoshe tu kupokea hicho kidogo.Fafanua kidogo mkuu, wengiine tulikua wadogo saana.
Mkuu hakuna jipya wala cha ajabu kwao. Ndiyo maana M23 wanawaua akari wetu kila wakipelekwa DRCkwa hiyo vitani polisi ndiyo huenda?
MkuuWaCongo man wasingekuwa wanateseka hivi kama Jakaya angekuwa bado Rais…aliwafyekelea mbali hawa M23 hadi Kagame akapata kiungulia
Kwanini watanzania wengi maarifa ya kuandika vitu kwa usahihi na ufasaha yanawashinda ?Kumbuka kipidi cha mkapa jakaya alimwambia wewe risasi mmja sisi tano jw ni moto acha mchezo
Jeshi lililojaa watu wa kabila nalo unaliita jeshi.jeshi lolote lenye viambata vya uasi na ukabila ni jeshi dhaifu sanaa......
ukiacha sababu hiyo...
sababu nyingine ni hiyo aya ya kwanza.
FDLR hawana nguvu ya kuteka hata robo kilometa ndani ya Rwanda kundi ambalo ni tishio kwa PK ni mai mai na wenyewe hawana ugomvi nae na wapo mbali saana na mpaka wa RwandaJeshi lililojaa watu wa kabila nalo unaliita jeshi.
Staff officers na. Senior officers Karibia wote watutsi hio nalo jeshi.
Hilo sio jeshi ni ni kikundi Cha watu wa kabila Moja wenye yunifomu na silaha basi.
Jeshi ambalo origin yake ni uasi Hilo sio jeshi.
Huwezi sema hili ni jeshi la nchi kama halina diversity au machanganyiko wa watu wenye asili tofauti.
Jamaa Hana ubavu wa kupeleka jeshi kongo akipeleka tu watamfanya vibaya sana.
Kuna wale jamaa wa FDLR wanagonja wapate chance wakinukishe.
Acha Slim ajitambe ila yeye mwenyewe anajua ana maadui wengi siku akijichanganya tu maadui zake wa ndani na nje wanapita nae perpendicular.
Risasi iliyotumika kuua miaka hyo 40 iliyopita ikitumika kukupigia sasaivi hufi??Vita pekee direct ilikuwa ni ya Uganda, nayo ni miaka 40 iliyopita, hakuna hata mwanajeshi mmoja aliyepigana vita ile bado yuko jeshini. Na hata kama yupo basi saa hii anaugua kisukari. Hizo nyingine sisi tulienda kama wapambe wa wenye vita. Huyo Uganda mwenyewe tulimpiga kwakuwa waganda walikuwa hawamtaki Amini.
Risasi iliyotumika kuua miaka hyo 40 iliyopita ikitumika kukupigia sasaivi hufi??
Turudi kwa hao Rwanda..wamepigana vita gani direct na nani?
Tatizo la watanzania wakilala wakiamka na kula maharage ndo mnakuja kijamba jamba hapa jf, wkt huko mipakani kuna watu wapo doria masaa 24 hawalali kukulinda ww ule maharage yako bila kujamba jamba lkn bdo unaleta kashfa za kijanga hapa..pumbavu kabisa[emoji35]
Kuna baadhi ya vikundi vya maimai vinashirikiana na Fdlr pia....fdlr haina nguvu ila imegeuka sababu ya Rwanda kufadhili makundi kama M23 kwa kisingizio cha kulinda watusi wa huko.FDLR hawana nguvu ya kuteka hata robo kilometa ndani ya Rwanda kundi ambalo ni tishio kwa PK ni mai mai na wenyewe hawana ugomvi nae na wapo mbali saana na mpaka wa Rwanda
kundi ambalo ni tishio kwa PK ni mai mai na wenyewe hawana ugomvi nae na wapo mbali saana na mpaka wa Rwanda
Wewe si mtoto tuliatuKwani Tanzania hii ni vita gani serious tumepigana?
Tena mgambo tuHana lolote, mf. akianzisha vita na Tz, tunatumia polisi tu na kuwachakaza.