Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
drones RWanda anazo, kipindi kile tunagombana naye ilisemekana alikuwa nazo za israel walitaka wazifanyie majaribio. though drones pia siku hizi zina mbadala, sio njia pekee. cha muhimu ni kwamba, ataisumbua tu congo, ila nchi zingine east africa wanao uwezo wa kumchapa, na akileta vita huo uhasama utakuwa wa milele na hana uwezo kuishi nao maisha yake yote. na uchumi wa rwanda hauruhusu icho. hata congo tu wakiamua kumpiga wanaweza, atakachofanya pekee ni kuwapa silaha M23 wawe wanamsaidia, ni kama analo jeshi lake jingine linaloishi kule congo (m23).Historia ya vita vya magobore ina issue gani kwa dunia ya sasa ya vita vya drones?