Kagame mna mrate wrongly kabisa. Vita gani kapigana Afrika hii?Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwsnda wameutumia vitani.
Na ndhani hata nchi zote za Easr Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lkn hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
Kibaraka wa wamagharibi huyo hawezi kuwa PutinSiku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwsnda wameutumia vitani.
Na ndhani hata nchi zote za Easr Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul Kagame anafanya atakavyo lkn hakuna nchi inainua kichwa.
View attachment 2402153
Delusion.Hivi kwanini mnajidanganya sana nyie vijana? Kwa kipi alichonacho Kagame hivi?
Kagame mna rate wrongly kabisa. Vita gani kapigana Afrika hii?
Frankly speaking, you're not Tanzanian.Kwani Tanzania hii ni vita gani serious tumepigana?
Mjibu,ulivyoulizwaFrankly speaking, you're not Tanzanian.
Mpumbavu na mshenzi.Frankly speaking, you're not Tanzanian.
Hivi Kagame aliwakosea nini Membe na Jakaya ???Kagame ashukuru Mungu Membe hakuchukua nchi kipindi kileee.
Frankly speaking, you're not Tanzanian.
Vita kwenye play station..Kagame mna rate wrongly kabisa. Vita gani kapigana Afrika hii?