Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

Vijana wenye sifa bado wapo,sema kama ni wa hovyo atakutana na wa hovyo wenzake.
Unamkata mtu ni waruwaru.lakini anataka aoe/aolewe na aliyetulia.kazi huanzia hapo.
 
jitahidi sana ndugu
 
Wanawake wamejipambanua kuwa wanataka 50/50, sasa linapokuja suala la majukumu wanakimbia, waweke bayana hiyo 50/50 wanaitaka kwenye vitu gani haswa ili tujue namna ya kuishi nao hawa ma Super woman
 
Huo muda wa kumchagulia mume binti yako ungeutumia kumfungulia kampuni na kumsaidia apate tender kubwakubwa ili ajitegemee kiuchumi ili asiwe ombaomba kama wewe na kusaida kutokomeza ufukara uliokithiri huko kwenu.
Una kitu Kaka, Kuna ka mkeka kaki tick tuta unda start up ya ma great thinkerπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Kwa ulivyo andika namuonea huruma kijana atakae muoa binti yako. Atakaemuoa ana hasara.
 
Baba anasikitika vijana ni wabahili ,binti yake itakuaje ,huu ni msiba arifu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Na huyo bwana utakayemtafutia utamuumba wewe
 
asiwe mdangaji tu, mume atapata.

Wanaosema kulea familia ni jukumu la mwanaume, kwanini mabinti wanaenda shule, kuajiriwa na kulipwa mahahara sawa na wanaume?

Kama jukumu la kulea familia ni la mwanaume, ilitakiwa mwanamke alipwe mshahara nusu ya mshahara wa mwanaume. Vinginevyo fungeni midomo.
 
Joketi kazalishwa na nani? Fred Vunjabei?
 
Aliemzalisha Joketi anaitwa nani? Kumzalisha alafu hataki kuoa nataka kumjua huyo muhuni ni nani? Anafanya Joketi anakua mbogo kwa wanaume wote kwa sababu ya muhuni mmoja?
 
Wadada poa wakinanani wanaowasaidia na mnapigwa adi kwa buku2 alafu et si wabaili toa utolewe
 

Hawa wenzetu hatujui wanataka nini
 
Mimi ni kijana wa zamani lakini sikubaliani na wewe unavyodanganya. Zamani wamana karibia wote walikuwa ni wamana wa nyumbani baada-ya kuolewa hivyo ndio maana-hakukuwa na kitu kinaitwa housegirl sababu kazi za nyumbani zilifanywa na mke. Mume baada ya kuwa na kazi au shughuli ya kipato ndipo alioa na aliishi na mkewe huyo kulingana na kipato chake na wake wa wakati huo hawakuwa na tamaa ya kudai vitu ambavyo waume zao hawana uwezo navyo.

Siku hizi wote wawili mke na nume wana kipato tena mke anaweza kuwa na kipato sawa au kikubwa kuliko mumewe sasa kwa nini asichangie gharama za familia?

Wewe kama unamtafutia ajira ya ndoa bintoyo huku ukijificha katika chaka la ndoa kila la heiri maana wanaume wajinga bafo wapo, ila kwa anayejitambua humpati ng'o.
 
Kwani ni lazima aolewe?..

Hebu acheni ulimbukeni kuhusu ndoa unadhani ni elimu hiyo kwamba utalipa pesa tu mtoto anaenda kusoma.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hapa sikuungi mkono, ndoa ni msingi wa familia bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…