Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

Hapa sikuungi mkono, ndoa ni msingi wa familia bora
Kua uyaone, hivi unadhani kuoa au kuolewa kuna formula kama 1+2=3 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Ni bahati aisee kubali usikubali, sasa tangu lini ukawekeza maisha yako kwenye bahati nasibu.

Make it optional.
 
Suala la wewe kusema sio issue ndo nimekupinga
 
Siyo issue kabisa wewe muwekee mtoto misingi bora suala la kutafuta mchumba muachie bahati yake ila akihitaji ushauri unampatia na siyo kumtafutia mume.
 
Huo muda wa kumchagulia mume binti yako ungeutumia kumfungulia kampuni na kumsaidia apate tender kubwakubwa ili ajitegemee kiuchumi ili asiwe ombaomba kama wewe na kusaida kutokomeza ufukara uliokithiri huko kwenu.
usisahau akiwa na kibunda watamtumia hawata muoa watamuogopa atakuwa bibi mjane
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
hakikisha awe bikra atapata kila kitu
 
binti yako ana miaka mingapi mkuu?
 
Huo muda wa kumchagulia mume binti yako ungeutumia kumfungulia kampuni na kumsaidia apate tender kubwakubwa ili ajitegemee kiuchumi ili asiwe ombaomba kama wewe na kusaida kutokomeza ufukara uliokithiri huko kwenu.
Dah hilo jibu lako mbona kama umetumia panga kuua panya
 
kwanza baba anayesema wabahili ni wale maisha magumu anataka kupona kupitia maisha ya mkwe endaa
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Dunia imepitia na bado inapitia mabadiliko mengi sana. Mabadiliko haya huwa chanya kwa upande fulani na hasi kwa upande mwingine.
Na unapopokea mabadiliko hauwezi kuchagua upande mmoja bali utapokea pande zote 2.
Hivyo unapofurahia matokeo chanya lazima ujue kuna sehemu utapokea matokeo hasi bila kupenda.
Tatizo linalokikuta kizazi hiki ni kila jinsia kutaka ipokee matokeo chanya pekee. kitu ambacho hakitokaa kitokee. Ndio maana jinsia zote zinalalamika na malalamiko yao yana mashiko.
 
Haya ndo matatizo ya Sera za usawa wa jinsia...
Upande mmoja mnataka usawa..
Halafu upande mwingine mnataka wanaume wabebe mzigo wote...
Chagueni kimoja...
Mkitaka usawa na Haki Sawa basi na gharama zake mbebe..
Au mkubali mwanaume awe mwanaume africanyway agharamie kila kitu....na asiulizwe ulizwe kama mahusiano ya kizungu yanayotaka usawa...
Una hoja usikilizwe
 
kwanza baba anayesema wabahili ni wale maisha magumu anataka kupona kupitia maisha ya mkwe endaa
Simaanishi hivo, ni vile wanaume wanataka kutegemea kipato cha mwanamke, which is wrong
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Mkuu wao wenyewe si ndio wanataka 50/50 ndo hiyo sasa usiwalaumu vijana aise.

Think before you spit.
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Wewe ni baba au ni mama.
Kama ni mama utampoteza binti yako mapema sana
 
Back
Top Bottom