Namuonea huruma sana Samia ameamua kukaa upande wa walaghai na wanafiki, watamgeuka soon tu baada ya uchaguzi

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
8,355
Reaction score
20,792
Habari za muda wakuu..

Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.

Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani na kumgeuka huku wakimsema vibaya na kila ubaya au jambo baya kuanzia ufisadi, mauaji sijui kutekana na kama haya ataambiwa ni yeye na mwanawe ndio alikuwa anafanya.

Unajua kwanini watamgeuka kwa sababu watajua hana tena feature huko mbeleni kila mtu atataka kuweka kambi yake vizuri kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 viongozi wengi wa ccm hasa wa mawaziri na manaibu waziri wa sasa na wataoteuliwa wanapiga rushwa na ufisadi vibaya sana na wamekusanya hela za kutosha.

Kwa sasa kila kiongozi anajua nguvu za Tanzania zipo kwenye vyombo vya dola sasa kila atayetaka kutia nia ya urahisi atataka kukubalika kwenye dola zaidi ili hajihakikishie kuteuliwa huku ccm imeshajulikana hakuna issue ni bendele fuata upepo.

Mama jiandae kisaikolojia utaona kila aina ya vimbwanga.
 
Hao walaghai wako chadema ambao kuzungusha vdole mnazungusha wote, nkiambizana kesho makamanda ni maandamano..basi ukiamka unajikuta mwenyewe.
 
Binafsi nisingewashauri vijana kuandamana sababu serikali yetu sio rahisi kusikia teyari viongozi weru wanakiburi cha hali ya juu pamoja na dharau.

Hii serikali ilitakiwa iwajibishwe na wana ccm sisi wenyewe ni aibu sana kuwa na mwenyekiti ambaye anadhani anaweza kupambana hadi na madhebu ya dini na asijue umoja wa watanzania umeshikiliwa kwa asilimia 40 na hizi dini zilizopo za kiisilam na ukristo.
 
Habari za muda wakuu..

Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.

Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani na kumgeuka huku wakimsema vibaya na kila ubaya au jambo baya kuanzia ufisadi, mauaji sijui kutekana na kama haya ataambiwa ni yeye na mwanawe ndio alikuwa anafanya.

Unajua kwanini watamgeuka kwa sababu watajua hana tena feature huko mbeleni kila mtu atataka kuweka kambi yake vizuri kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 viongozi wengi wa ccm hasa wa mawaziri na manaibu waziri wa sasa na wataoteuliwa wanapiga rushwa na ufisadi vibaya sana na wamekusanya hela za kutosha.

Kwa sasa kila kiongozi anajua nguvu za Tanzania zipo kwenye vyombo vya dola sasa kila atayetaka kutia nia ya urahisi atataka kukubalika kwenye dola zaidi ili hajihakikishie kuteuliwa huku ccm imeshajulikana hakuna issue ni bendele fuata upepo.

Mama jiandae kisaikolojia utaona kila aina ya vimbwanga.
Kipindi cha pili atajikita kuijenga Kizimkazi na Zan anajielewa, kila mzanzibar anamapenzi na nchi yake sio kama huko Bara ... wamsikiize wasimsikiize hana cha kupoteza..au Mwigulu anayo jeuli ya kukataa kupeleka maokoto Zanziber??
 
Binafsi nisingewashauri vijana kuandamana sababu serikali yetu sio rahisi kusikia teyari viongozi weru wanakiburi cha hali ya juu pamoja na dharau.

Hii serikali ilitakiwa iwajibishwe na wana ccm sisi wenyewe ni aibu sana kuwa na mwenyekiti ambaye anadhani anaweza kupambana hadi na madhebu ya dini na asijue umoja wa watanzania umeshikiliwa kwa asilimia 40 na hizi dini zilizopo za kiisilam na ukristo.
Imagine raisi anafungia makanisa na kunyanyasa mapadri na wachungaji wengine mpaka wanakimbia nchi kwa ajili ya usalama wao.... halafu kuna wapumbavu kibaoa wanamsapoti kisa tu ni muislamu mwenzao.

Hawajui hata mbegu ya kibaguzi wanayoipanda....

Yaani wanasahau kabisa kuna siku atatokea tena Raisi mkristo wakati huo tayari kuna damage mbaya imeshafanywa na raisi muislamu huku nyuma.

Hawa wenzetu walioshika atamu ya sasa wana akili na upeo mdogo sana.

Yaan unavyomuona yule Kawaida wa UVCCM ndio vijana wengi wa kiislamu kutoka ukanda huo wa pwani na zanzibar wako hivyo... akili ndogo,upeo mdogo, hawafikiri maisha ya kesho yatakuwaje akija mtawala mwingine.
 
Mbali na kugeukwa na ccm mtandao aliowaona polepole
Atakuwa nawakati mgumu kuongoza taifa lilogawanyika, Taifa ambalo asilimia kubwa ya wananchi hawanaimani na Rais.
Kabisa mm naona kutakuwa na wakati mgumu sana na si ajabu damu za watu zikaendelea kumwagwa kwa sababu wapingaji wataongezeka..
 
Habari za muda wakuu..

Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.

Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani na kumgeuka huku wakimsema vibaya na kila ubaya au jambo baya kuanzia ufisadi, mauaji sijui kutekana na kama haya ataambiwa ni yeye na mwanawe ndio alikuwa anafanya.

Unajua kwanini watamgeuka kwa sababu watajua hana tena feature huko mbeleni kila mtu atataka kuweka kambi yake vizuri kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 viongozi wengi wa ccm hasa wa mawaziri na manaibu waziri wa sasa na wataoteuliwa wanapiga rushwa na ufisadi vibaya sana na wamekusanya hela za kutosha.

Kwa sasa kila kiongozi anajua nguvu za Tanzania zipo kwenye vyombo vya dola sasa kila atayetaka kutia nia ya urahisi atataka kukubalika kwenye dola zaidi ili hajihakikishie kuteuliwa huku ccm imeshajulikana hakuna issue ni bendele fuata upepo.

Mama jiandae kisaikolojia utaona kila aina ya vimbwanga.
zitto aliliongea hili

hakuna kosa baya wanalolifanya ccm kuwapa nguvu yote jeshi li-determine power ya kisiasa ya maccm

mwisho wa siku atatokea kichaa huko jeshini ataamua kuchukua ng'ombe mzima

na itatokea tu,very soon
 
Back
Top Bottom