Ili uwe mwana ccm lazima hizo sifa uwe nazo ndio ujiunge na chama chao nae ni mwanachama pia.Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.
Binafsi nisingewashauri vijana kuandamana sababu serikali yetu sio rahisi kusikia teyari viongozi weru wanakiburi cha hali ya juu pamoja na dharau.Hao walaghai wako chadema ambao kuzungusha vdole mnazungusha wote, nkiambizana kesho makamanda ni maandamano..basi ukiamka unajikuta mwenyewe.
Kipindi cha pili atajikita kuijenga Kizimkazi na Zan anajielewa, kila mzanzibar anamapenzi na nchi yake sio kama huko Bara ... wamsikiize wasimsikiize hana cha kupoteza..au Mwigulu anayo jeuli ya kukataa kupeleka maokoto Zanziber??Habari za muda wakuu..
Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.
Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani na kumgeuka huku wakimsema vibaya na kila ubaya au jambo baya kuanzia ufisadi, mauaji sijui kutekana na kama haya ataambiwa ni yeye na mwanawe ndio alikuwa anafanya.
Unajua kwanini watamgeuka kwa sababu watajua hana tena feature huko mbeleni kila mtu atataka kuweka kambi yake vizuri kwa ajili ya uchaguzi wa 2030 viongozi wengi wa ccm hasa wa mawaziri na manaibu waziri wa sasa na wataoteuliwa wanapiga rushwa na ufisadi vibaya sana na wamekusanya hela za kutosha.
Kwa sasa kila kiongozi anajua nguvu za Tanzania zipo kwenye vyombo vya dola sasa kila atayetaka kutia nia ya urahisi atataka kukubalika kwenye dola zaidi ili hajihakikishie kuteuliwa huku ccm imeshajulikana hakuna issue ni bendele fuata upepo.
Mama jiandae kisaikolojia utaona kila aina ya vimbwanga.
Imagine raisi anafungia makanisa na kunyanyasa mapadri na wachungaji wengine mpaka wanakimbia nchi kwa ajili ya usalama wao.... halafu kuna wapumbavu kibaoa wanamsapoti kisa tu ni muislamu mwenzao.Binafsi nisingewashauri vijana kuandamana sababu serikali yetu sio rahisi kusikia teyari viongozi weru wanakiburi cha hali ya juu pamoja na dharau.
Hii serikali ilitakiwa iwajibishwe na wana ccm sisi wenyewe ni aibu sana kuwa na mwenyekiti ambaye anadhani anaweza kupambana hadi na madhebu ya dini na asijue umoja wa watanzania umeshikiliwa kwa asilimia 40 na hizi dini zilizopo za kiisilam na ukristo.
Kabisa mm naona kutakuwa na wakati mgumu sana na si ajabu damu za watu zikaendelea kumwagwa kwa sababu wapingaji wataongezeka..Mbali na kugeukwa na ccm mtandao aliowaona polepole
Atakuwa nawakati mgumu kuongoza taifa lilogawanyika, Taifa ambalo asilimia kubwa ya wananchi hawanaimani na Rais.
zitto aliliongea hiliHabari za muda wakuu..