Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

Nyie si ndio mnadai kuna baraka katika kutoa sadaka?
 
Ukute hujamwambia hata huyo jamaa yako! Lakini jasiri haachi asili wewe ni mbea.
 
Unajuaje makubaliano ya wanandoa yakoje wakati hupo katika hiyo ndoa?

Fuatilia hamsini zako. Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe.
 
kama alikula mchenyeto wakati tayari mimba imetungwa ya mwanaume mwingine huyo mshua atunze tu hicho kiumbe cha msela mwingine. Ila kama mwanamke alichepuka akanasa mimba nje huyo mshua aamue mwenyewe tu kumezea hayo maumivu au azuge haelewi kitu na azingatie msemo wa kitanda hakizai haramu
 
Meh!
 
Kaka izi mmbo ziache uenda Binti alilazimishwa utajuaje
 
Nacheka kama mazuri haya mambo haya ila unajua nini ukiwa na mwanamke mjanja mjanja kaa nae kininja ninja pia, "almanusra yanikute hayo kwenye mahusiano", aliposema ana mimba nikamwambia sikia wewe hapa penzi tu kama mimba sihusiki, kwani sijui kama uko na huyu nilimuonyesha picha ya mshkaji aliyekuwa nae alikuwa anapiga alidhani sijui[emoji23][emoji23]
Ila vurugu za ujana!!noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…