Namuunga mkono mchezaji aliekataa kuvaa jezi za kuhamasisha ushoga licha ya wenzake kuzivaa

Mada za Ushoga zinapendwa sana Jamii Forum,
Yaani inaonesha jinsi Vijana hawana la kuvumbua kwenye akili zao ndogo zaidi ya kuwaza Ushoga na Mashoga,

Inasikitisha sana.
 
Kulazimisha watu kutangaza ushoga ni kufuru ya hali ya juu. Mashoga kama wameamua kufanya, wafanye huko kwenye vyumba vyao kama sisi pia tunavyofanya wake zetu bila kutangaza. Suala la mapenzi ni la watu wawili. Wala haina haja ya kutangaziana. Culture Me
 
Wahaya tuna msemo, "Kogya bunyira, naiwe onyira". Tafsiri yake Kiingereza ni "You can't live in a society and be free from it". Yeye kama hakubaliani na mambo yao, aje Tanzania achezee timu zetu.
 
Wahaya tuna msemo, "Kogya bunyira, naiwe onyira". Tafsiri yake Kiingereza ni "You can't live in a society and be free from it". Yeye kama hakubaliani na mambo yao, aje Tanzania achezee timu zetu.
Je wewe muhaya uko upande gani?
 
Je wewe muhaya uko upande gani?
Kama Wafaransa wanaamini ushoga na yeye sio Mfaransa kiherehere cha nini kujumuika nao? Anataka kuwalazimisha kufanya anavyoona yeye ni sawa? Je, Wafaransa wakija Tanzania na kukutaka uwe shoga utakubali?
 
Mimi nimekuuliza wewe unauamini Ushoga?yeye msimamo wake tumeshaujua
 
Kufuru unaijua wewe,
Wafanye kwenye vyumba vyao kwa maana unawaza ushoga ni ngono tu,
Wewe na Mwanamke wako mbona mna haki ya kuoana, kuzaa, kuasili, kushikana mikono hadharani, mkienda hotelini hakuna anayewahoji wala kuwashangaa, hakuna anayewanyanyapaa kwa kua ni mke na mume, hampigwi, hamuuliwi kwa kua mke na mume mnapendana, hamteswi, hamtengwi na jamii,

Ushajua Mashoga wanapitia mangapi sababu tu wanapenda watu wa jinsia yao???
 
Mbona una jibu halafu unauliza? Chokonoaneni huko vyumbani kwenu. Hakuna mtu atawatafuta. Acheni kueneza ushoga kwa watoto wetu hadharani. Mbona sisi hatutangazi kwenye mechi za mpira? Whether unaamini katika Mungu ama nature, of what use is sex between a man and man? It is a dead end. It is abomination.
hakuna anayewanyanyapaa kwa kua ni mke na mume
 
Ungekua una akili nilichokiweka hapo juu ndio ungeelewa kwanini unasema "wanaeneza" hawaenezi Ushoga bali wanaweka "uelewa" jamii ya Heterosexual itambue kua kuna jamii ya Homosexual pia, isijione wao ndio wanahisa na hii Dunia, kwa kuwafanya Homosexuals waishi maisha ya mateso na kukosa haki zao za Msingi kama Binaadam wengine.
 
Not to that extent.... Wee jifanye una uhuru wa kutembea na mwanaume mwenzio mtaani umemshika kiuno halafu uone. Inamishwa huko gizani, siyo ulete ufirauni wako hadharani.
 
Not to that extent.... Wee jifanye una uhuru wa kutembea na mwanaume mwenzio mtaani umemshika kiuno halafu uone. Inamishwa huko gizani, siyo ulete ufirauni wako hadharani.
Jamaa anatetaa mashoga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†
 
Hapa unawakwepaje kwa mfano na hizi ni rangi zao za kupromote ushoga na ndo rangi kuu kwenye utawala wao.
Huna chapa uuzi ununui

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…