Mesut90
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 537
- 626
Kiongozi wangu yupi???Kwani huo ni uzushi? Si ameongea kiongozi wako wa dini? Ikiwezekana fungua uingie ndani zaidi uone alichoongea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi wangu yupi???Kwani huo ni uzushi? Si ameongea kiongozi wako wa dini? Ikiwezekana fungua uingie ndani zaidi uone alichoongea nini?
Kiongo
PapaKiongozi wangu yupi???
Yaa ayyuha lladhyna aamun, ijtanibuu kathyra mminna dhwann, innaa baadha dhwann ithm.Papa
Kwani pombe inashida gani?lakini jezi ya kutangaza pombe anavaa
Wahaya tuna msemo, "Kogya bunyira, naiwe onyira". Tafsiri yake Kiingereza ni "You can't live in a society and be free from it". Yeye kama hakubaliani na mambo yao, aje Tanzania achezee timu zetu.
Hapo majuzi, timu kubwa ufaransa ya PSG ilienda kucheza mechi huku wachezaji maarufu wa dini kuu mbili wakiwa wamevaa jezi za kuhamasisha na kuutetea ushoga na usagaji lakini kuna mchezaji moja Idrissa Gueye alikataa kuvaa hizo jezi akilalamika ni kinyume na anachoamini
Hili suala si la kidini tu, ni suala la utu.
Mabeberu haya yanajinadi ni nchi zenye uhuru ila kiukweli sijaona chochote kinachoruhusu mtu awe huru kwa anachoona kwake ni sahihi kukisimamia, mabeberu wanajipa uhuru kwenye mambo wanayoyaona ni sahihi kwao lakini wanawazuia wengine kuwa huru kwa wanachoona ni sawa na hakimdhuru yeyote wanapo kisimamia.
Mtu analipwa kucheza mpira ila wanaanza kumlazimisha awe balozi na mhamasishaji wa vitu ambayo vipo kinyume mno na dini yake na hata tamaduni zake.
Kama kuna mashoga na wasagaji, sawa tu waendelee na itikadi zao wao kimpango wao, lakini haya mambo ya kuanza kumlazimisha mtu kutetea mashoga si uungwana hata kidogo.
![]()
Je wewe muhaya uko upande gani?Wahaya tuna msemo, "Kogya bunyira, naiwe onyira". Tafsiri yake Kiingereza ni "You can't live in a society and be free from it". Yeye kama hakubaliani na mambo yao, aje Tanzania achezee timu zetu.
Maadamu mumechagua kuangalia movie zao basi hamuna budi kutizama na huo ushenzi wao.Movie zetu za akina mzee kikala , kombolela, beki tatu na the likes. Utayaona wapi hayo
Mkuu, acha kulinganisha pombe na vitu vya ajabu ajabu.lakini jezi ya kutangaza pombe anavaa
Kama Wafaransa wanaamini ushoga na yeye sio Mfaransa kiherehere cha nini kujumuika nao? Anataka kuwalazimisha kufanya anavyoona yeye ni sawa? Je, Wafaransa wakija Tanzania na kukutaka uwe shoga utakubali?Je wewe muhaya uko upande gani?
Kufuru unaijua wewe,Kulazimisha watu kutangaza ushoga ni kufuru ya hali ya juu. Mashoga kama wameamua kufanya, wafanye huko kwenye vyumba vyao kama sisi pia tunavyofanya wake zetu bila kutangaza. Suala la mapenzi ni la watu wawili. Wala haina haja ya kutangaziana. Culture Me
hakuna anayewanyanyapaa kwa kua ni mke na mume
Ungekua una akili nilichokiweka hapo juu ndio ungeelewa kwanini unasema "wanaeneza" hawaenezi Ushoga bali wanaweka "uelewa" jamii ya Heterosexual itambue kua kuna jamii ya Homosexual pia, isijione wao ndio wanahisa na hii Dunia, kwa kuwafanya Homosexuals waishi maisha ya mateso na kukosa haki zao za Msingi kama Binaadam wengine.Mbona una jibu halafu unauliza? Chokonoaneni huko vyumbani kwenu. Hakuna mtu atawatafuta. Acheni kueneza ushoga kwa watoto wetu hadharani. Mbona sisi hatutangazi kwenye mechi za mpira? Whether unaamini katika Mungu ama narute, of what use is sex between a man and man? It is a dead end. It is abomination.
Ungekua una akili nilichokiweka hapo juu ndio ungeelewa kwanini unasema "wanaeneza" hawaenezi Ushoga bali wanaweka "uelewa" jamii ya Heterosexual itambue kua kuna jamii ya Homosexual pia, isijione wao ndio wanahisa na hii Dunia, kwa kuwafanya Homosexuals waishi maisha ya mateso na kukosa haki zao za Msingi kama Binaadam wengine.
Jamaa anatetaa mashoga 😂😂😂😆😆Not to that extent.... Wee jifanye una uhuru wa kutembea na mwanaume mwenzio mtaani umemshika kiuno halafu uone. Inamishwa huko gizani, siyo ulete ufirauni wako hadharani.