Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Kweli we ni jipu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya ndoa ni
Mungu anapanga mkuu.

Mwanamke unayemuoa huwezi kumkimbia wala yeye hawezi kukukimbia.

Trust me,
kama ndie uliyepangiwa utamwacha leo, utazungukaaa kisha utarudi kwake lkn kama siye, mambo yataisha automatically wala hauhitaji kutumia nguvu nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka picha yake na yakwako tuliganishe, we mburura kweli utajuta utakapomuacha harafu upate kipele cha haja
 

Hapa umeongea kitu cha msingi mno.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema yupo katika mahusiano na mwanamke aliyemzidi umri
Anadai hafikirii kumuoa kwasababu mwanamke kamzidi umri na urefu

Mpe mbinu za kumuacha 🙂
Karibia utagradyueti PhD ya kusamaraiz. Ngoja nikauze korosho nikuongezee ada...

Mwambie anipe namba za simu za huyo mmama niangalie cha kufanya...

Eti huyu Daby naye aliniacha jamani...

 
Muache tu mkuu siku yakikukuta utakuja hapa hapa kufungua uzi tukushauri namna ya kumrudisha, thamani ya mtu huonekana pale utakapompoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hujielewi kwa kifupi ni hivyo,nahisi umri unaweza kuwa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trust me" what goes around comes around"...mimi mke wangu alikuwa kama mpenzi wako!nlikuwa simpendi,ila nlijifunza taratibu huku nikimlinganisha na wanawake wengine,kila waliponiumiza nlizidi kumpenda mke wangu!nowdays MAISHA NI MATAMU ASIKWAMBIE MTU MANGI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nimemshauri almost the same mkuu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…